TRA ONline job application

TRA ONline job application

BabaKasheshe

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2012
Posts
211
Reaction score
45
Salama wakuu.....naomba kujua kama kuna mtu ame apply kazi online TRA na kafanikiwa hadi mwisho, me naona anasumbua sana, baadhi ya items ambazo ni compasory ni kama haziko active.....
 
Kwanaza ni ktk sehem ya kumweka resuls yaani PASS or FAIL, nikiweka still inaleta error msg kwamba sijaweka....
Inasumbua sana mkuu lakini ukikomaa inajijaza..mie ilisumbua sana kwenye birth date..hatari,,halafu ilivyo yaa ajabu hawatumi hata notifications kwenye emai yako..ingawa wameiga system ya UN still wapo chini..!!
 
Hapana mkuu notification wanatuma kwa email yako unayoweka pale

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
mimi hawajanitumia aisee wamenipa reference namba tu..mkuu ingawa nimeisubmit ile application
 
wanajamii forums hiyo mada nimeifatilia lakini cjaelewa hiyo on line application ya tra ipo vip!!!!!!!!!! pls nipeni details nami niapplyb pls! au information ipo wap zaid??
 
Tafuta uzi umeandikwa TRA kazi mpya kuna link mule inahusu applications click..
 
kama hamna jaribu ku log in kama umekuwa register,tumia ref number waliyopewa
Nimeamua niachane nayo maana ref namba wamenipa nikiingiza inasema haipo..nimejaribu kuapply tena inasema the applicant already exists..!!itakua sio bahati yangu tu hiyo..!!
 
hapo sipati picha application ziko ngap na wanasoma hata moja,well lets us try our luck
 
Inasumbua sana mkuu lakini ukikomaa inajijaza..mie ilisumbua sana kwenye birth date..hatari,,halafu ilivyo yaa ajabu hawatumi hata notifications kwenye emai yako..ingawa wameiga system ya UN still wapo chini..!!

Kwenye date tumia system hii
mm/dd/yy
 
hii system sidhani kama itakua inamanufaa waliokusudia at times wanakosa watu wazuri sababu ya usumbufu huu, mm I gave up....
 
Tatizo la watanzania weng kweli hawapendi kuchoka na kukubali mabadiliko ndo maana hata hatubadiliki, cha kushangaza sana ni vjana ndo wanakata tamaa na kukubali mabadiliko, naona vijana hapo wanakataa tamaa kwa mambo muhimu, lakini kujiunga na facebook, atangangania hadi ajiunge. Tubadilike vijana.
 
hii system sidhani kama itakua inamanufaa waliokusudia at times wanakosa watu wazuri sababu ya usumbufu huu, mm I gave up....

System yako iko vizur kwa kwel tatizo lipo kwetu tunao aply kuna sehem ya HELP mbona hamuitumii, mimi mara yakwnza nilitest system nikaingiza infomation za uongo but sikusubmit. kuna matatizo ambayo huya yanakua ya kimtandao hayao hayakwepeki lakini kwa hili TRA :A S thumbs_up:.
 
Mimi mwenyewe nimeamua ku-give up, watakosa watu wengi sana kwa mtaji huu
 
Back
Top Bottom