Kilele9
Wizara ya Mambo ya ndani, uhamiaji, Passport, driving license, zitambulike kama vibali vya ukweli kupata laini ya simu, zoezi liwe endelevu, sababu NIDA wanasuasua.
Tunakosea kuwaadhibu wananchi kwa makosa ta NIDA. Hatutendi haki. Tujikite kwenye haki, fairness, tukizingatia uwezo wa taasisi zetu kutoa huduma.