Kwani sisi wafanyakazi wa TRA haturuhusiwi kujenga?
Kama mfanyakazi mmoja wa TRA anamiliki majumba 75, japo wengine wanamiliki kati ya majumba 5, 10, 20 n.k, uka hesabu idadi ya wafanyakazi TRA tanzania nzima, hakika hawa wanamiliki raslimali za majumba kuliko NHC. JPM, hakikisha majumba hayo yanarejea na kutumiwa na wafanyakazi wa serikali - ikiwemo waalimu, madaktari, majaji n.k
Subiri sheria ya '' MONEY LAUNDERING " ikitembelee ndipo utakapo uliza hilo swali lako. Najua watu wengi hawajui makali ya hii sheria ndio maana wanaiba mali wanaandika majina ya watoto wao, ndugu zao n.k " wanajidanganya' Mwaka huu mtajua Tanzania kuna sheria na zinafanya kazi.Kwani sisi wafanyakazi wa TRA haturuhusiwi kujenga?
Nyumba 25@100m= 2.5trillion.haitakuwa na justification.
Unang'ang'ania elimu wakati aliyegundua elimu hakuwa na elimu we vp, usikariri kwani hao vigogo wa TRA ni mbumbumbu lakini ona walichokifanya,labda mwenzako mkono umeteleza na ungemueleza hesabu sahihi ilitakiwa iwe ngapi.1. Elimu 2. Elimu 3. Elimu
Kiongozi, 25x100m haiwezi kufika 2.5 trillion. Shughulisha tena akiliyako.Nyumba 25@100m= 2.5trillion.haitakuwa na justification.
wakati mwingine umasikini huleta husda, wivu na uonevu.
Mfanyakazi wa tra kujenga sio dhambi hata nyumba ziwe 1,000. Lililo muhimu ni kuona je kipato chake na cha familia kinaendana na mali alizonazo.
Tanzania kuna fursa nyingi hasa kwa watu wenye kufikiri na wenye "kianzio". Mishahara yao inawapa fursa ya kukopa mikopo "minono" kwenye taasisi za kifedha.
Kiongozi, 25x100m haiwezi kufika 2.5 trillion. Shughulisha tena akiliyako.
10 ~KumiAsante Eli: 25x100,000,000= 2,500,000,000.
1,000,000,000= 1billion . I stand to be corrected! So ni 2.5billion. Sasa mtumishi wa umma huwezi kutoa jystification ya biashara iliokupa 2.5b.
Nyumba 25@100m= 2.5trillion.haitakuwa na justification.
Nachojua wewe unajishughulisha na ufugaji wa viti moto; kamwe hujawahi kuajiriwa: TRA ulianza lini? Au ni War Kaaawaawaaa alikutafutia nafasi TRA?Kwani sisi wafanyakazi wa TRA haturuhusiwi kujenga?
Samahani: hivi wewe ni wa kule kwetu kwa akina Koku?Wanyanganywe tu wizi tumeuchoka