malogi1976
JF-Expert Member
- Apr 22, 2016
- 297
- 168
Nami nashangaa wakati wanatakaga cha kwao mapema.usipolipa asubuhi hao mlangoniMmmh kulipa wakt wanatoka?ya kweli haya
Nami nashangaa wakati wanatakaga cha kwao mapema.usipolipa asubuhi hao mlangoni
Ningekuwa nimedakwa nisingeandika na hawajanifungulia kesi wameiacha wenyewe waliangalia vyumbani wapo ngapi na kwenye kitabu wapo wangapi kwahiyo nisingeandika Kama nimedakwa ni sababu sitaki usumbufu wakati manager wao anasema mteja alipe akiwa anaondoka! Kama umewahi lala hotel utaelewaMtoa habari wakati mwingine uwe unafikiria kabla hujaleta Uzi. Hivi wapi Tanzania hii wakuache ulale eti siku ya kuondoka ndiyo ulipe? Tusidanganyane kama wazee wa kodi wamekudaka basi tulia dawa ikuingie.Bora Hata ungedanganya wachache bado. Nielekeze ni hoteli IPI nashida na roomvkwa short reason maana nategemea dili language litabuma baada ya masaa 2 nikimaliza ntakulipa.
mkuu vumilia tu usijeitwa mchochezi we lipa tuNyie TRA ni kiboko yani wamekuja hotelini na kuuliza wateja wangapi wamelala nikawaambia na kuwaonesha kitabu mpk hapo sawa baada ya hapo leta Risiti nikawaambia wateja hulipa siku wanayotoka mara napewa barua na maofisa kwa kosa LA kutotowa Risiti. Kwanini mnakuwa waonevu nikaenda the next day kuripoti na kumuona ofisa mwingine Naye akawa anashangaa wakati mteja hulipa siku ya kutoka hotelini.kwa kweli tra hawasikilizi mtu na hii ni too much Kwa kweli. Tunaomba mtueleweshe kuhusu hili jambo Kwa ufasaha na Kama mtu mwingine amekumbwa na hili naomba atuambie
Mwenzangu nilienda Na kumwambia meneja Ili watuelimishe naye akasema nyie nendeni hamtasumbuliwa tena sielewi tatizo humu wengine wanafikiri Kila mtu hataki lipa Kodi sidhani Kama ni wafanya biashara Hawa watu tunataka kuelimishwa na tra Mtu anasema nimekamatwa watanzania Kila kitu kuweka negativity aiseeMashine zenyewe za efd siku 3 sasa zinasumbua network hata z report hazitoi....waambie hao watu wa tra wakuonyeshe sheria ya hotel na huduma inayosema utoe risiti kabla mteja hajafanya chekout...wakikutisha wanaandika faini waambie sawa andikeni halafu hakuna kulipa
Zipo mbona?TRA mnatakiwa muwe na special thread humu kama NMB,STAR TIMES NA VODACOM
Inawezekana hujawahi kwenda hotelini.Mmmh kulipa wakt wanatoka?ya kweli haya