Kimwakaleli
JF-Expert Member
- Apr 16, 2018
- 3,905
- 5,365
Gharama kubwa Sana, kidogo kidogo ndio diliTena wazo lako zuri sana, angalau wangesema kiasi hicho cha kodi ukilipe kidogo kidogo na siyo kulipa yote hata kabla gari haijakufikia mikononi mwako!
Hio habari ya gari jipya eti ni nafuu kwny kodi si ukweli ni porojo za wale jamaa watoza ushuru tu. Ngoja nikupe mfano mrahisi.kwa ninavyo fahamu mimi ni gari lililozidi miaka 10 gharama yake kwa upande wa kodi na tozo nyine ni kubwa sana, ila jipya yani lililo tumika chini ya miaka 10 ni nafu lakini bado inaumiza walio wengi unakuta gari mtu unanunua mil28 ila mpaka lifike mikononi mwako inakuwa ni gharama ya gari uizidishe mara mbili kitu ambacho kinatuumiza tulio wengi na ndo mwanzo wa kuanza kutafuta janja janja ili tusilipe hizo gharama na kodi pia importation inakuwa ni kwakiwango kidogo, mapendekezo yangu ni serikali kwakupitia TRA itafute namna ya kukata hizo hela baada ya gari kumfikia mlengwa, na gharama hizo zinaweza kuwekwe kwenye huduma muhimu za gari kama mafuta na vingine vitakavyo faa ambavyo havitamuumiza mlengwa moja kwa moja
Mkuu kuna gari na gari ambazo nadhani mdai alisema zinapishana. May be hiyo type ya gari ushuru uko hivyo. Lakini still ni kodi kubwa sanaa. Kwani hata BMW X3 2008 mfano unaweza pakia Japan kwa dola 5000 mpaka 5500CIF. Ushuru ndio hivyo 10.7M. Hapo unaona ni almost 100% ya CIF. Ndio wadau wanavyoongelea.Hio habari ya gari jipya eti ni nafuu kwny kodi si ukweli ni porojo za wale jamaa watoza ushuru tu. Ngoja nikupe mfano mrahisi.
Kodi ya Bmw 3 325 ya mwaka 2008(kwa mujibu wa calculator ya TRA)-ni Tsh.10,753,000.
Kodi ya BMW Bmw 3 325 ya mwaka 2015 ni-Tsh 32,276,00.
Sasa iweje wawe wanapiga porojo eti ukinunua gari ya miaka ya karibuni kodi inakua ni ndogo?
Mkuu asikudanganye mtu khs suala la kununua gari ya karibuni eti ushuru ni mdogo.Mkuu kuna gari na gari ambazo nadhani mdai alisema zinapishana. May be hiyo type ya gari ushuru uko hivyo. Lakini still ni kodi kubwa sanaa. Kwani hata BMW X3 2008 mfano unaweza pakia Japan kwa dola 5000 mpaka 5500CIF. Ushuru ndio hivyo 10.7M. Hapo unaona ni almost 100% ya CIF. Ndio wadau wanavyoongelea.
basi ni wahuniHio habari ya gari jipya eti ni nafuu kwny kodi si ukweli ni porojo za wale jamaa watoza ushuru tu. Ngoja nikupe mfano mrahisi.
Kodi ya Bmw 3 325 ya mwaka 2008(kwa mujibu wa calculator ya TRA)-ni Tsh.10,753,000.
Kodi ya BMW Bmw 3 325 ya mwaka 2015 ni-Tsh 32,276,00.
Sasa iweje wawe wanapiga porojo eti ukinunua gari ya miaka ya karibuni kodi inakua ni ndogo?
Jamaa ni waongo kishenzi,tena saaana mkuu.basi ni wahuni
wanavunja sana mioypo yetuJamaa ni waongo kishenzi,tena saaana mkuu.
Mada hapa mkuu ni ushuru kuwa juu kwa wananchi waliowengi kushindwa either kuagiza bidhaa nje ili kujikwamua kimaisha.Mkuu asikudanganye mtu khs suala la kununua gari ya karibuni eti ushuru ni mdogo.
Fanya kitu kimoja kirahisi mkuu, ingia kwny calculator ya TRA hapo test gari ya Co. Yoyote ile unayoitaka whether ni Toyota,Merce. Benz,Opel,Suzuki etc...linganisha gari labda ya 2015 vs ya 2006 ya model ile ile,specification zilezile then tuletee feedback hapa mkuu.
Nasubiri jibu lako hapa mkuu.
Mkuu you're missing the point,mkuu Uchira1 alichokua anasema ni kwamba gari za hivi karibuni zina kodi ndogo kuliko magari ya zamani na hicho ndicho nilichokua na discuss naye hapa.Mada hapa mkuu ni ushuru kuwa juu kwa wananchi waliowengi kushindwa either kuagiza bidhaa nje ili kujikwamua kimaisha.
Ununue gari ya 2015 au 2018 au ununue gari ya 2008 still ushuru unasoma juu ukilinganisha na gharama CIF ya gari uliyolipia.
Nimetoa mfano BMW X3 2008 utalipa ushuru 10.7M wakati wewe umenunua mpaka hapo Tanzania kwa CIF5000USD mpaka 5500USD. Hapo unaona ushuru ni gari nyingine tena. Sasa kwa mtu wa kawaida akitaka kununua IST mfano CIF utaweza ipata
toka Japan kwa USD2300 ya mwaka 2004 au 2005 , Ushuru utalipa 4.8M mpaka unatoa gari 5.2Milioni shiling. Gari nyingine pia. Yaani ushuru ni almost 100%.
Ndio maana wadau wanaomba japo ungekuwa 60% ya CIF.
Wanataka tuache kuagiza magariSahivi TRA wameongeza 1mln kwenye kodi ukiagiza Gari unakutana huku
Alafu hiyo haina maelezo
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
1 milion Haina maelezo????Sahivi TRA wameongeza 1mln kwenye kodi ukiagiza Gari unakutana huku
Alafu hiyo haina maelezo
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app