PakavuNateleza
JF-Expert Member
- Sep 9, 2009
- 1,104
- 1,294
Halafu hii sio tetesi tena, mchanganuo wa huu uizi upo kwene website ya TRA. BTW mods unganisheni na ile thread nyingine iliopo kwene uchumi na biashara.
Jamani kwa nini tusiipindue tu hii serikali dhalimu? haitufai kabisaaaaaaa
Calm down guys!!! imenikera na inauma ila apparently kumbe hii system ilishaanza ktk wenyeji wetu! ukiangalia Uganda tayari walishaanza since the beginning of the year 11! Absurd!!!!, sasa nimeona is something to do with the EAC though! check this from www.ura.go.ug utaona huko. Ila ugomvi wangu bado uko palepale kwamba je TZ imekubali tu kiholela bila kuwapa taarifa wananchi in advance???? It seems like we are about to lose this case! i hate mambo ya kiholelaholela! grow up Tz Gov!! you have got the right to protect your citizens man!you can't just be easy going bunch of clowns!
Mkuu ishu hapa sio kumuiga tembo kwenda haja, jambo haliwi sahihi kwa sababu linafanywa na watu wengi. Huu mzigo wa kodi ni mkubwa sana na haumeki any sense. Kama kuiga kwanini tusiige mambo mazuri kutoka mataifa ya ulimwengu wa kwanza ambyzo tayari zimesha-prove success??
hii ni sawa na ina maana kuwa katika kusubmitt documents haina haja ya msururu wa nyaraka bali Bill of Lading pekee kuonyesha kuwa unaingiza mzigo nchini, bei haihusiani tena na seller bali TRA! (this is only in TZ!!!)Labda tujiulize kua kwa utaratibu mpya ambao utamuumiza zaidi mteja, TRA ina ubavu gani kubadilisha sheria itakayoumiza wananchi bila wawakilishi wa wananchi hao kufahamishwa? Imepita bungeni? au si lazima?