TRA na kodi ya majengo ulaji mtupu

Pigweni dili tu..huku kwetu ata umiliki kasri la ekar 5 tunalipa buku2!..cjawatuma mkimbilie huko[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Pigweni dili tu..huku kwetu ata umiliki kasri la ekar 5 tunalipa buku2!..cjawatuma mkimbilie huko[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]

Post sent using JamiiForums mobile app
Wapi huku Mkuu?
 
Mleta
 
Hichi kirisiti hakijitoshelezi hakina jina la mtaa wala namba ya nyumbaa ningejua kwa foleni yote hhiyo ni kipande kisichojitosheleza wasingeniona
 
Acha uwongo na kuwakashifu bure watumishi wa TRA. Kama ni kweli, Ulishindwa nini kumwuuliza aliyekuhudumia sababu ya kukuandikia kiwango kidogo wakati ulilipa zaidi?
 

Kwa kuwa umeamua kuweka hadharani taarifa zako, kuwa Makini kuandika ya Moyoni humu kwa kutumia ID hii maana Siku hizi bahari kuchafuka ni jambo la kawaida sana usishangae tukakupiga uhujumu uchumi au kutakatisha Fedha maana kesi za Uchochezi nmeanza kuzizoea hahahah
 
Kuna siku nilienda kwa MDOSI, nilitaka kufanya manunuzi ya devices kama za 1m Tshs. Nikaomba discount MDOSI akakaza!

Nikachukulia poa. Nikalipa. Akajifanya kujisahaulisha kunipa RECEIPT, ana kazi ya kusifia quality ya zile devices.

Nikamuomba receipt. Jicho likamtoka. Mimi kau. Akajizunguusha wee! Kuja kutoa receipt, figure inasoma lac 3.5!

Nikamuita. Nikamuambia sogea hapa! Wabongo wauzaji wake wakaanza kumbwela! Nikamuambia hizi bidhaa zako kaa nazo, mi naondoka na RECEIPT tu!

Kilichofuata....! Ngoja nigonge MCHEMSHO kwanza!

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Ahh malizia mkuu ilikuwaje
 
eh eh hii kitu nami niliiona aisee nilinunua hometheater laki 4.5 kucheki risit inasoma laki 180 nkamwambia tusitaniane pasu kwa pasu uzuri i.likua kipindi bado kariakoo hawajaanza kaza tra nkarudi na kalaki kangu na nusu.
 
Pole sâna mkuu, Lakn weka na đemand notes yako hapo tủthibitishe kâma ni kweli... Maana hawa Tra wanâsema wamezaliwa upya... Tưwaone...kâma hutaiweka n vigumu kukuamin

Sent from my Infinix S2 Pro using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…