As Salafiyyu91
JF-Expert Member
- Jan 11, 2014
- 2,537
- 2,544
Da sijui niwafuate j3 wakanirudishie chenji yanguTayari kaka
Post sent using JamiiForums mobile app
Hukusoma risiti pia si imeshatangazwa kodi ipo flat kutegemea halmashauri yenyewe sasa wewe husomi matangazo ya TRA Tz nzima???!!!Ndugu wana jamvi awali ya yote ningependa kuwatakia Week End njema baada ya kuangaika na harakati za kutafuta riziki
Labda niende kwenye mada moja kwa moja siku ya leo nilienda kulipa kodi ya majengo katika ofisi za TRA baada ya kusikia tangazo kuwa leo ndio siku ya mwisho ya kukusanya kodi ya majengo
Baada ya kukaa mda mrefu kwenye foleni takribani masaa 5 nikafanikiwa kuingia ndani ya ofisi za TRA cha ajabu nilipofika kuhudumiwa nikaambiwa kwa thamani ya jengo unaloishi inabidi utoe kodi ya Tsh 27000
Nikaingia mfukoni nikatoa Tsh30000 nikarudishiwa elfu 3000 cha ajabu nikiangalia risiti niliyopewa inaonyesha nmelipa elfu 15000 kwaiyo takribani elfu 12000 haipo katika risiti sasa wanandugu je hapa sijaingizwa mjini na hawa TRA ?
Ndugu wana jamvi awali ya yote ningependa kuwatakia Week End njema baada ya kuangaika na harakati za kutafuta riziki
Labda niende kwenye mada moja kwa moja siku ya leo nilienda kulipa kodi ya majengo katika ofisi za TRA baada ya kusikia tangazo kuwa leo ndio siku ya mwisho ya kukusanya kodi ya majengo
Baada ya kukaa mda mrefu kwenye foleni takribani masaa 5 nikafanikiwa kuingia ndani ya ofisi za TRA cha ajabu nilipofika kuhudumiwa nikaambiwa kwa thamani ya jengo unaloishi inabidi utoe kodi ya Tsh 27000
Nikaingia mfukoni nikatoa Tsh30000 nikarudishiwa elfu 3000 cha ajabu nikiangalia risiti niliyopewa inaonyesha nmelipa elfu 15000 kwaiyo takribani elfu 12000 haipo katika risiti sasa wanandugu je hapa sijaingizwa mjini na hawa TRA ?
Sikujua mkuu baadae ndo nkaja kugundua hiloKwanini uliondoka bila kuwauliza mkuu unakuja kutuuliza sisi?
Da kwaiyo ishakula kwangu?Mkuu hapo ulichemsha ingetakiwa udai chako hapo hapo Mara baada ya kugundua cash uliyotoa haiendani na kiwango kilichoandikwa kwenye risiti.
Sijakuelewa mkuu !!!Uliuliza kuisaidia nchi yako?
risiti haitoshelezi karatasi ya kuonyesha kadirio na control number iko wapi?Ndugu wana jamvi awali ya yote ningependa kuwatakia Week End njema baada ya kuangaika na harakati za kutafuta riziki
Labda niende kwenye mada moja kwa moja siku ya leo nilienda kulipa kodi ya majengo katika ofisi za TRA baada ya kusikia tangazo kuwa leo ndio siku ya mwisho ya kukusanya kodi ya majengo
Baada ya kukaa mda mrefu kwenye foleni takribani masaa 5 nikafanikiwa kuingia ndani ya ofisi za TRA cha ajabu nilipofika kuhudumiwa nikaambiwa kwa thamani ya jengo unaloishi inabidi utoe kodi ya Tsh 27000
Nikaingia mfukoni nikatoa Tsh30000 nikarudishiwa elfu 3000 cha ajabu nikiangalia risiti niliyopewa inaonyesha nmelipa elfu 15000 kwaiyo takribani elfu 12000 haipo katika risiti sasa wanandugu je hapa sijaingizwa mjini na hawa TRA ?
Karatasi hizo wanazi pin nakubaki nazo TRArisiti haitoshelezi karatasi ya kuonyesha kadirio na control number iko wapi?
Da ndo maana nilimuona Cashier akitenganisha mabulungutu ya hela kumbe nyingine ndo za akina sie!!!Tayari mkuu ushaingizwa Posta Mpya.
Post sent using JamiiForums mobile app
Mkuu nimekuja kugundua baadaeSasa why hujadai hapo hapo!?