TRA Morogoro mtandao ni kero

Haji Mashaka Nassoro

JF-Expert Member
Jan 10, 2021
381
835
Ofisi ya TRA Morogoro mjini ishu ya mtandao katika kulipa kodi imekua kero. Mfano unataka kulipia Leseni ya kuendesha gari iliyokwisha muda Renew utasota nendarudi zaidi ya mwezi sababu ya Mtandao.

Meneja wa mkoa fuatilia watu wako wa IT au kama ni tatizo la nchi nzima mamlaka tafuteni ufumbuzi haiwezekani mwananchi anataka kulipa kodi kwa hiari aanze kusota zaidi ya mwezi utazani anaomba kibarua.
 
Back
Top Bottom