Mavindozii
JF-Expert Member
- Oct 20, 2012
- 2,111
- 2,759
Hello
Serikali ya Tanzania inasikitisha sana. Wakati unaenda kulipia bili za TRA wanakuambia mtandao hakuna au haujarudi, unashinda pale kwenye office yao mchana kutwa. Kesho unarudi wanakuambia mtandao uko chini yaani wanakera sana. Halafu wanakuambia kalipe Kodi ukiwapelekea hela wanazungusha viono na kuperuzi kwenye simu zao.
Kwanini mtandao wenu ovyo kabisa WAKATI Serikali ndio inawagawia akina CRDB, NMB, AMANA BANK?
Kuna nini hapo naomba mamlaka zikaliangalie na hili . Mtu hawezi kukuletea pesa umwambie sina mfuko wa kuweka. Hasa hizi office zilizoko Arusha mjini bure kabisa. Tigo , Airtell, Vodacom wanawashinda .
Msibweteke kukaa kwenye viti vya kuzunguka na kuacha kuwahudumia wananchi wanaokufanya uende choo 3 times a day .
Tafuteni plan b ya kupata faster internet .