TRA mnataka kodi na kwenye sadaka?

Una chuki binafsi na kakobe,
Sina chuki binafsi na bosi wako kakobe,kama umekaririshwa maisha na kakobe ni juu yako,
Leteni hoja yenu ya kukaguliwa ,msikwepe ukweli.
 
Kwa hio na mie choka mbaya naishi nyumba ya nyasi huku simiyu nikisema na hela kuliko serikali mtakuja nichunguza.Mbona Dr shika kasema ana billion 25 Uchunguzi wake lini, kama kusema ni kusema.
Kama unaishi kwa kauli za kitapeli utakaguliwa na uhojiwe ili mamlaka ijiridhishe kama uko mzima au zimefyatuka
 
Mchungaji gani anakuwa muoga kukemea maovu,Dawa ya maouvu ni kuyasema ili wahusika watubu wasipotee kwenye uovu.
Kazi ya mchungaji ni kulisha kondoo wa kristo ,si kukurupuka na kuleta uzishi kny jamii.
 
Kwa hio Uchunguzi wa sadaka ni kwa kakobe tu kwann msifanye makanisa na dini zote hadi kwa waganga wa kienyeji kote zatolewa sadaka
kama wakikariri kama kakobe kua wanapesa kuliko serikali watakaguliwa,kukurupuka akurupuke kakobe,muwashirikishe makanisa mengine,hiyo kauli ya pesa kuliko serikali ni yakwake ,tena mumwambie atii mamlaka
 
Naona team kukaririshwa ya jioni imeingia kazini,muwe munaulizana walipofikia,msirudie kuuliza maswali yale yale,lakini si kosa lenu ni kosa la alie wakaririsha
 
Ndiyo Nyumba yake, aliijenga tangu miaka ya themanini; kwa gharama ya Milioni 2; kabla hajawa mtumishi wa Mungu; baada ya kuingia katika utumishi, maisha yake yote ameyatoa kwaajili ya huduma.
Unamfahamu mtoto wake wa kiume aliyesoma Good Samaritan? Magari aliyokuwa akitumia kwenda nayo shule ni zaidi ya hiyo nyumba, anasoma sekondari na anaendesha mwenyewe!

Muulize mtoto wa Tarimba, walikuwa wote pale!
 
Wewe umekunywa pombe ndio unaona kulia kushoto kushoto kulia,acha kukurupuka kangara itakuponza,na uache maisha ya kukaririshwa na akina pangupakavu
mimi nimekunywa pombe aina ya beer ila wewe umekunywa gongo mixer wanzuki..ndio maana mpka akili yako yaonyesha kulewa ..hujielewi..ningekuwa mimi ndiye mzazi wako ningekubadilisha na pumba tu ilinipate mashudu as chakula cha kuku
maana huna faida ..nakuwa namtoto asiyejitambua kama wew nisawa nakuhifadhi fuvu lamtu ndani ya kabati ..

shithole
 
Pole huko kwenu hamfai kabisa mnaweka mafuvu ya watu ndani huo ndio wanga kabisa na hiyo signature yako ya trumph mnavyofanana lo!jitu kubwa unakaririshwa mambo huna ubongo wewe?ndio maana mnalea vitoto vya akina pangu pakavu.
 
Jitu kubwa kabisa unakaririshwa maisha,huna ubongo weye,na hiyo signature ya trumph mnavyofanana lo! Ndio maana mnalea vitoto vya akina pangu pakavu.
 
Serikali yenye laana .Kweli Trump hakukosea kutuita shitholes yes ! We are diguisting filthy shitholes indeed.
 
Mijitu imekalia upuuzi mtupu kupambana na watu wanaosema ukweli yaani mpaka leo hawa viongozi wakuu wanayofanya haya ndo hao hawana aibu bado wanapanda majukwaani na kuongea upupu wa ahadi za maji na umeme Dah! Miaka zaidi ya 50 baada ya uhuru .Shame on Tanzanian rulling greenish cartel if you know what I mean .
 
Rudi kny ma
Rudi kny mada husika
 

Hizi ni bla bla tu za kutaka kutetea mambo ya aibu yanayofanyika
 
Po
Atakayemuua kakobe mwenye haki,aandae makaburi mengi. Kwa huyu, tatakufa wengi.
Atakayemfunga, apanue geleza lake .ajue atatufunga wengi.
Ni heri nife nikiitetea haki na mwenye haki.
HAWAJUI KUWA
Msukule umefunguliwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…