TRA Mnahusika Hapa Njooni

Hii inawzekana mmiliki wa haya magari ni mmoja na hiyo namba ya kwenye tiper ilikuwa ya hiyo mark2 ambayo inaonekana ilikuwa kwenye usajili wa tax na baadae wakaitoa kwenye usajili huo na kufanya ujanja wa kuiweke kwenye tiper
 
kama ni ujanja sawa lakini kuna hila hapo
 
Hii inawzekana mmiliki wa haya magari ni mmoja na hiyo namba ya kwenye tiper ilikuwa ya hiyo mark2 ambayo inaonekana ilikuwa kwenye usajili wa tax na baadae wakaitoa kwenye usajili huo na kufanya ujanja wa kuiweke kwenye tiper

Ni kweli mkuu maana hadi mtu ujue namba za gari zinafanana inakubidi uwe na data nyingi za magari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…