UrbanGentleman
JF-Expert Member
- Jun 19, 2016
- 2,584
- 1,886
Hi kitu sasa imekua kero na imefikia hatua inachosha kiasi uvumilivu umenishinda kabisa.
Nilikua najua hapa kazi ni kazi kweli kumbe Hakuna lolote ni ubabaishaji wa hali ya juu kiwango cha kukatisha tamaa.
Tarehe 17 mwezi wa 9 nilipeleka leseni yangu kurenew pale samora house sababu ilishapitwa na wakati nisije tengeneza kisababisho cha vyeti vya kipuuzi.
Sasa tangu tarehe 17/9/2017 mpaka leo tarehe 7/11/2017 means huku ni kukomoana huwezi chukua duplication fee af nusubiri miezi mitatu ndio nipewe huduma huu ni uzembe kuanzia uongozi wa juu mpaka chini.
Kweli hii ni hapa kazi au maneno ya mdomoni kufurahishana tu?