Oct. Ilikuwa kiasi gani?October yalitangazwa, November mhasibu yupo likizo.
Sikumbuki vizuri, ingia kwenye website yao.Oct. Ilikuwa kiasi gani?
Ya Oktoba yalitangazwa lakini ya Novemba yatajumlishwa na ya Disemba kama yatafika trilioni 1.2 ili wawe wamevuka lengo.
november wamekusanya bil 600. hata JK hakuwahi kukusanya hii figureWana JF, Mimi nanafuatilia sana maendeleo ya nchi yetu inayokuwa kiuchumi wa 7% kwa mwaka. Hiv mapato ya serikali ya Oct, Nov vipi? wenzangu mmesikia yametangazwa?
Ni haki yangu kikatiba kujua mapato na matumizi ya kodi ninazotoa kwa serikali.
Naomba mnijuze wakuu.
Au ilikuwa Nguvu ya soda ile.
Subiri tutawapa yoooteeeeWana JF, Mimi nanafuatilia sana maendeleo ya nchi yetu inayokuwa kiuchumi wa 7% kwa mwaka. Hiv mapato ya serikali ya Oct, Nov vipi? wenzangu mmesikia yametangazwa?
Ni haki yangu kikatiba kujua mapato na matumizi ya kodi ninazotoa kwa serikali.
Naomba mnijuze wakuu.
Au ilikuwa Nguvu ya soda ile.
Mzee wa masauti unapotosha nimevisit TRA website.. makusanyo novemba ni tilioni 1.2november wamekusanya bil 600. hata JK hakuwahi kukusanya hii figure
Mkuu wewe unalipa kodi kutoka October hadi January? January si mwaka mwingine wa kodi ambapo unafanya estimation/assessment mpya?Nasikia yale ya October yalijumuishwa na kodi ambazo watu walilipa in advance hadi January.
Ya December peke yake lazima yawe juu kwasababu ya final instalment ya kodi.Ya Oktoba yalitangazwa lakini ya Novemba yatajumlishwa na ya Disemba kama yatafika trilioni 1.2 ili wawe wamevuka lengo.
Hata wakitangaza mtasema yamepikwa wacha wakae nayo tu.Wana JF, Mimi nanafuatilia sana maendeleo ya nchi yetu inayokuwa kiuchumi wa 7% kwa mwaka. Hiv mapato ya serikali ya Oct, Nov vipi? wenzangu mmesikia yametangazwa?
Ni haki yangu kikatiba kujua mapato na matumizi ya kodi ninazotoa kwa serikali.
Naomba mnijuze wakuu.
Au ilikuwa Nguvu ya soda ile.
Watu wanataka mtiririko unaoeleweka, sio mwezi huu umetangaza,mwezi ujao hutangazi.Hata wakitangaza mtasema yamepikwa wacha wakae nayo tu.