TRA mapato ya Oct, Nov.2016

malisoka

JF-Expert Member
Jul 8, 2012
1,860
2,637
Wana JF, Mimi nanafuatilia sana maendeleo ya nchi yetu inayokuwa kiuchumi wa 7% kwa mwaka. Hiv mapato ya serikali ya Oct, Nov vipi? wenzangu mmesikia yametangazwa?

Ni haki yangu kikatiba kujua mapato na matumizi ya kodi ninazotoa kwa serikali.

Naomba mnijuze wakuu.

Au ilikuwa Nguvu ya soda ile.
 
november wamekusanya bil 600. hata JK hakuwahi kukusanya hii figure
 
Wana JF, Mimi nanafuatilia sana maendeleo ya nchi yetu inayokuwa kiuchumi wa 7% kwa mwaka. Hiv mapato ya serikali ya Oct, Nov vipi? wenzangu mmesikia yametangazwa?

Ni haki yangu kikatiba kujua mapato na matumizi ya kodi ninazotoa kwa serikali.

Naomba mnijuze wakuu.

Au ilikuwa Nguvu ya soda ile.
Subiri tutawapa yoooteeee
 
Kwa taarifa ya mkiti wa jumuiya ya wafanya biashara jana asubuhi kupitia pb clouds FM hali ya biashara ni mbaya sana. Najaribu kujiuliza pesa yakulipia ndege ilizoahidiwa zitatoka wapi sipati majibu.
 
Nasikia yale ya October yalijumuishwa na kodi ambazo watu walilipa in advance hadi January.
Mkuu wewe unalipa kodi kutoka October hadi January? January si mwaka mwingine wa kodi ambapo unafanya estimation/assessment mpya?
 
Ya Oktoba yalitangazwa lakini ya Novemba yatajumlishwa na ya Disemba kama yatafika trilioni 1.2 ili wawe wamevuka lengo.
Ya December peke yake lazima yawe juu kwasababu ya final instalment ya kodi.
March, June, September hivyo hivyo.
 
Wana JF, Mimi nanafuatilia sana maendeleo ya nchi yetu inayokuwa kiuchumi wa 7% kwa mwaka. Hiv mapato ya serikali ya Oct, Nov vipi? wenzangu mmesikia yametangazwa?

Ni haki yangu kikatiba kujua mapato na matumizi ya kodi ninazotoa kwa serikali.

Naomba mnijuze wakuu.

Au ilikuwa Nguvu ya soda ile.
Hata wakitangaza mtasema yamepikwa wacha wakae nayo tu.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom