TRA Makusanyo bilioni 4 tu kwa mwaka Lindi and Singida Kidogo Mno: Aibu

MzalendoHalisi

JF-Expert Member
Jun 24, 2007
4,661
1,588
1. Wana bodi nimeenda TRA kuangalia makusanyo ya kodi TRA 2013/14 Mikoa ya Lindi na Singida ni shilingi bilioni 4 tu kwa mwaka kila mkoa!

2. Mikoa Dar (1,100 bilioni), Arusha (242 bilioni), Kilimanjaro (100 bilioni), Tanga (83 bilioni), Mbeya (68 Bilioni), Mwanza (117 bilioni).

3. Sasa niulize kama mikoa mingine haichagii ktk national cake je wana haki kupata huduma kwa usawa?

Bora tuwe na serikali ya majimbo ili 40% ya kodi itumike kule inakokusanywa na 60% iende serikali kuu kwa ajili ya ulinzi, mambo ya nje etc.

Haiwezekani Watanzania wengine waamke usiku watoe jasho watoe kodi halafu wengine wanacheza bao tu na kuchangia bilioni nne tu kwa TRA kwa mwaka!

Tunahitaji ushindani wa kweli na heshima ktk nchi yetu!

Asiyefanya kazi na asile!

Ni hayo tu kwa sasa!

Mzalendo

Regional Tax Statistics
Millions TShs.
REGION (TZ Mainland)
2002/03 2013/14
Large Taxpayer 4,491,991.0
Ilala (Previously DSM) 643,856.9
Kinondoni 365,770.7
Temeke 159,231.5
DSM Service Centre 3,158,744.8
JNIA 110,895.9
Arusha 242,054.6
Coast 14,853.5
Dodoma 28,368.1
Iringa 35,830.6
Kagera 27,239.9
Kigoma 9,168.6
Kilimanjaro 100,922.2
Lindi 4,992.4
Mara 75,537.7
Mbeya 68,332.9
Morogoro 39,080.3
Mtwara 41,923.5
Mwanza 117,691.1
Ruvuma 7,084.2
Shinyanga 17,699.0
Singida 4,166.4
Tabora 15,468.3
Tanga 83,084.7
Rukwa 6,334.0
Manyara 8,408.5
Total (GROSS) 9,878,731.4
Less Refunds (VAT & Others) 520,326.8
Net collections 9,358,404.5
Add:Treasury Vouchers & Other Non-targets 24,642.1
Total TRA Mainland 9,383,046.7
REGION (Zanzibar)
2002/03 2013/14
TRA Zanizbar 136,690.8
 
Kweli kuna mikoa bure kabisa! Nadhani hakuna biashara kubwa kubwa na hata kwenye mazao bure kabisa! Wote walio chini ya 10Bil wanatakiwa wajiangalie na kujiongeza! Ni aibu kweli! ....Kwa Zbar 136Bil kwa mwaka wakati wanatumia 800 Bil ndio tujue kuwa pesa zote zinatoka Bara kufidia gape! Lakini Waziri Zamani/ sasa Mbunge Nahodha anasimama anasema wanataka mapato sawa bara na Zbar! Hana hata aibu! Kwani tumeoana sasa sharti kugawana sawa? Muungano ulivyo tunawabeba sana!! Zaidi 600bil tunawalip kuendesha nchi
 
Sawa Mkuu!
Yaani hata mkoa wa Arusha (242 bl) wanakusanya kodi kubwa zaidi ya Zanzibar (136 bl)?
Muungano huu unabebwa na Mikoa ya Dar, Arusha, Kilimanjaro, Tanga na Mwanza!
136 bilioni kwa nchi kama Zanzibar?

Kweli kuna mikoa bure kabisa! Nadhani hakuna biashara kubwa kubwa na hata kwenye mazao bure kabisa! Wote walio chini ya 10Bil wanatakiwa wajiangalie na kujiongeza! Ni aibu kweli! ....Kwa Zbar 136Bil kwa mwaka wakati wanatumia 800 Bil ndio tujue kuwa pesa zote zinatoka Bara kufidia gape! Lakini Waziri Zamani/ sasa Mbunge Nahodha anasimama anasema wanataka mapato sawa bara na Zbar! Hana hata aibu! Kwani tumeoana sasa sharti kugawana sawa? Muungano ulivyo tunawabeba sana!! Zaidi 600bil tunawalip kuendesha nchi
 
Hapa naona mnataka kuiga katiba yetu ya Kenya ambayo huwa mnaiponda kila siku. Kwetu hapa kila gatuzi/jimbo linabaki na asilimia 15% kwa ajili ya maendeleo yake ya ndani.
Hii inachangia kwa kila jimbo kutia bidii.
CC kadoda11
 
1. Wana bodi nimeenda TRA kuangalia makusanyo ya kodi TRA 2013/14 Mikoa ya Lindi na Singida ni shilingi bilioni 4 tu kwa mwaka kila mkoa!

2. Mikoa Dar (1,100 bilioni), Arusha (242 bilioni), Kilimanjaro (100 bilioni), Tanga (83 bilioni), Mbeya (68 Bilioni), Mwanza (117 bilioni).

3. Sasa niulize kama mikoa mingine haichagii ktk national cake je wana haki kupata huduma kwa usawa?

Bora tuwe na serikali ya majimbo ili 40% ya kodi itumike kule inakokusanywa na 60% iende serikali kuu kwa ajili ya ulinzi, mambo ya nje etc.

Haiwezekani Watanzania wengine waamke usiku watoe jasho watoe kodi halafu wengine wanacheza bao tu na kuchangia bilioni nne tu kwa TRA kwa mwaka!

Tunahitaji ushindani wa kweli na heshima ktk nchi yetu!

Asiyefanya kazi na asile!

Ni hayo tu kwa sasa!

Mzalendo

Regional Tax Statistics
Millions TShs.
REGION (TZ Mainland)
2002/03 2013/14
Large Taxpayer 4,491,991.0
Ilala (Previously DSM) 643,856.9
Kinondoni 365,770.7
Temeke 159,231.5
DSM Service Centre 3,158,744.8
JNIA 110,895.9
Arusha 242,054.6
Coast 14,853.5
Dodoma 28,368.1
Iringa 35,830.6
Kagera 27,239.9
Kigoma 9,168.6
Kilimanjaro 100,922.2
Lindi 4,992.4
Mara 75,537.7
Mbeya 68,332.9
Morogoro 39,080.3
Mtwara 41,923.5
Mwanza 117,691.1
Ruvuma 7,084.2
Shinyanga 17,699.0
Singida 4,166.4
Tabora 15,468.3
Tanga 83,084.7
Rukwa 6,334.0
Manyara 8,408.5
Total (GROSS) 9,878,731.4
Less Refunds (VAT & Others) 520,326.8
Net collections 9,358,404.5
Add:Treasury Vouchers & Other Non-targets 24,642.1
Total TRA Mainland 9,383,046.7
REGION (Zanzibar)
2002/03 2013/14
TRA Zanizbar 136,690.8
Nashukuru mleta mada. Niliwahi kusema, Arusha haiifikii Kinondoni hata kwa Domestic Revenue Collection, mtu mmoja akabisha sana. Leo data ni hizo zinatoa somo la kila kitu. Tukiangalia Ilala kwa mfano, makusanyo yake ya kodini mara mbili ya Kinondoni, na makusanyo ya Kinondoni ni karibu mara moja na nusu yale ya Arusha(almost mara mbili)
 
Ndiyo Mkuu!
Hii mikoa ya kaskazini iko mbele! sababu ni utalii na pia bidhaa nyingi hupitia Holili hule Moshi!
Hata Mara pia wanwashinda Mbeya katika kukusanya kodi!
(Mara 75,537.7
Mbeya 68,332.9)
mbeya kuna boda mbili tunduma na mzuzu kwa nini washindwe na Kilimanjaro?
 
acha ubaguzi singida hakuna rasilimali nyingi kama mikoa mingine kama arusha kwenye mbuga za wanyama ,madini n.k..
 
Nashukuru mleta mada. Niliwahi kusema, Arusha haiifikii Kinondoni hata kwa Domestic Revenue Collection, mtu mmoja akabisha sana. Leo data ni hizo zinatoa somo la kila kitu. Tukiangalia Ilala kwa mfano, makusanyo yake ya kodini mara mbili ya Kinondoni, na makusanyo ya Kinondoni ni karibu mara moja na nusu yale ya Arusha(almost mara mbili)
Ilala kama ilala haiwezi kuizidi Kinondoni bali inabebwa na bandari na Airports ambavyo ni vitu vya kitaifa, ukija kwenye mapato halisi yatokayo na biashara Kinondoni ipo juu sana
 
yaan Kilimanjaro inaishinda hadi Mbeya?
Mbeya inatia aibu au kuna uzembe?
Mbeya ina border za Tunduma na Malawi, halafu ni jiji, kilimo cha kumwaga, ukiwa Ubungo bus Terminal kuna mabasi zaidi ya 50 yanaelekea Mbeya how comes ipitwe na Mara yenye mabasi matatu yanayoelekea huko kwa siku, huku ina border moja tu Sirari? Inawezekana kuna mikoa wanakamuliwa sana kuliko mingine, au uzembe tu.
Ndiyo Mkuu!
Hii mikoa ya kaskazini iko mbele! sababu ni utalii na pia bidhaa nyingi hupitia Holili hule Moshi!
Hata Mara pia wanwashinda Mbeya katika kukusanya kodi!
(Mara 75,537.7
Mbeya 68,332.9)
 
1. Wana bodi nimeenda TRA kuangalia makusanyo ya kodi TRA 2013/14 Mikoa ya Lindi na Singida ni shilingi bilioni 4 tu kwa mwaka kila mkoa!

2. Mikoa Dar (1,100 bilioni), Arusha (242 bilioni), Kilimanjaro (100 bilioni), Tanga (83 bilioni), Mbeya (68 Bilioni), Mwanza (117 bilioni).

3. Sasa niulize kama mikoa mingine haichagii ktk national cake je wana haki kupata huduma kwa usawa?

Bora tuwe na serikali ya majimbo ili 40% ya kodi itumike kule inakokusanywa na 60% iende serikali kuu kwa ajili ya ulinzi, mambo ya nje etc.

Haiwezekani Watanzania wengine waamke usiku watoe jasho watoe kodi halafu wengine wanacheza bao tu na kuchangia bilioni nne tu kwa TRA kwa mwaka!

Tunahitaji ushindani wa kweli na heshima ktk nchi yetu!

Asiyefanya kazi na asile!

Ni hayo tu kwa sasa!

Mzalendo

Regional Tax Statistics
Millions TShs.
REGION (TZ Mainland)
2002/03 2013/14
Large Taxpayer 4,491,991.0
Ilala (Previously DSM) 643,856.9
Kinondoni 365,770.7
Temeke 159,231.5
DSM Service Centre 3,158,744.8
JNIA 110,895.9
Arusha 242,054.6
Coast 14,853.5
Dodoma 28,368.1
Iringa 35,830.6
Kagera 27,239.9
Kigoma 9,168.6
Kilimanjaro 100,922.2
Lindi 4,992.4
Mara 75,537.7
Mbeya 68,332.9
Morogoro 39,080.3
Mtwara 41,923.5
Mwanza 117,691.1
Ruvuma 7,084.2
Shinyanga 17,699.0
Singida 4,166.4
Tabora 15,468.3
Tanga 83,084.7
Rukwa 6,334.0
Manyara 8,408.5
Total (GROSS) 9,878,731.4
Less Refunds (VAT & Others) 520,326.8
Net collections 9,358,404.5
Add:Treasury Vouchers & Other Non-targets 24,642.1
Total TRA Mainland 9,383,046.7
REGION (Zanzibar)
2002/03 2013/14
TRA Zanizbar 136,690.8

Nafikiri tatizo ni watawala wa hiyo mikoa na wazee wa almashauri. Chukulia mkoa wa Lindi ambao ni tajiri kushinda hata mkoa wa Kilimanjaro au Dar lakini makusanyo ya mapato yake ni kama ulivyotaja. Lindi wana manalima the best ufuta hapa Tanzania, best mbaazi, korosho, gesi asilia, mtama, na vikolombwezo kibao, iweje changio la pato lao ikawa bilini 4 tu? Hapa kuna kamchezo kanachezwa na wazee wa kukusanya kodi. Mimi kama mnunuzi na msambazaji wa mazao tajwa toka Lindi na Mtwara, I know how much ninatozwa kodi na hawa watu, serikali inabidi iwakomalie wazee wa kodi toka hiyo mikoa. Lindi is way too rich than portrayed, wanaitwa wazee wa gesi.
 
Mkuu lazima uangalie vyanzo vya mapato kwa ujumla utagundua hiyo mikoa ina vyanzo vichache sana. Kikubwa serikali iboreshe huduma na miundombinu katika hiyo mikoa ili kuchochea uwekezaji. Lakini pia Dar es salaam ianze kugawana mapato na mtwara katika kila kodi itakayoingia kupitia gesi asilia.
 
Ukusanyaji wa kodi inategemeana na ufanisi wa uongozi husika katika matumizi ya EFD na sio resource kiasi gani japo ina mchango wake. Unanunua kitu dukani haudai risiti ambayo ingeongeza kodi.
Cha msingi ni TRA kufanya kazi yake
 
Mnataka Mbeya, Ruvuma, Iringa, Njombe na Rukwa waanze kutoza kodi kwenye mchele na mahindi ili muwe ngoma droo?
 
kuna mtu anatoa hoja kuhusiana na mkoa wa Kilimanjaro kuipita mbeya.... ni kwamba hafahamu kiasi gani utalii unachangia au vipi
 
Jamani tuwe great thinkers kidogo! Kwanini tunadhani ukusanyaji wa kodi ni function ya uongozi tu? Je tunajuwa kazi halisi ya kodi? Ni nchi gani inayokusanya kodi sawa kutoka kila mkoa/jimbo? Angalia urefu wa kila kidole kwenye kiganja chako! Mleta mada huna nia njema na nchi hii. Yapo yakukosoa kwenye uongozi wa JPM lakini sio hili. Leta mada nyingine tafadhali.
 
Tuwe makini kutambua tumewekeza nini kule tunakotarajia kukusanya kodi, k. m. Dsm tumewekeza kwa kujenga viwanda vingi na miundombinu ya kisasa! Naambiwa eti Singida barabara ya lami imepitia juzi juzi tu
 
Back
Top Bottom