binam wetu
Member
- Sep 11, 2013
- 52
- 14
Mku huoni kama una wivu ya Mtu mmojammoja au kwako ni laanaTulidekezwa vibaya una biashara kila leo unaongeza magari, nyumba nzuri, vaa nzuri, michango mizuri ya harusi, harambee kubwa kubwa kanisani, watoto English medium ukija kwenye kodi ya mapato mtu anataka alipe chini TZS 1,000,000 kwa mwaka. Kodi ya mapato inaendana na kipato chako
TRA wanachofanya ni kujaribu kushawishi wafanya biashara walipe kodi inayoendana na matokeo halisi ya biashara zao; haina maana kujikadiria kodi ya TZS 1,000,000 lakini wakati wa kuwasilisha hesabu kodi isome TZS 10,000,000 au kupitia kaguzi za kodi, kodi yako hali ije kuwa TZS 15,000,000. Bora makadirio yako angalau yawe 80% ya kodi halisi kulingana na hesabu zako.Mku huoni kama una wivu ya Mtu mmojammoja au kwako ni laana
Umeelewa alichokilalamikia huyo mfanyabiashara? Au unasumbuliwa na ukada? Soma vzr.Tulidekezwa vibaya una biashara kila leo unaongeza magari, nyumba nzuri, vaa nzuri, michango mizuri ya harusi, harambee kubwa kubwa kanisani, watoto English medium ukija kwenye kodi ya mapato mtu anataka alipe chini TZS 1,000,000 kwa mwaka. Kodi ya mapato inaendana na kipato chako
Mwisho wa mwaka ikiongezeka si unalipa ile tofauti? Na naweza kujikadiria 1m lakini biashara ikaenda vizuri kama usemavyo au isiende vizuri hio 1m ikawa ni kodi kubwa kuliko uhalisia, unajua hapo inakuwaje? TRA hawakurudishii cash.TRA wanachofanya ni kujaribu kushawishi wafanya biashara walipe kodi inayoendana na matokeo halisi ya biashara zao; haina maana kujikadiria kodi ya TZS 1,000,000 lakini wakati wa kuwasilisha hesabu kodi isome TZS 10,000,000 au kupitia kaguzi za kodi, kodi yako hali ije kuwa TZS 15,000,000. Bora makadirio yako angalau yawe 80% ya kodi halisi kulingana na hesabu zako.
Tulidekezwa vibaya una biashara kila leo unaongeza magari, nyumba nzuri, vaa nzuri, michango mizuri ya harusi, harambee kubwa kubwa kanisani, watoto English medium ukija kwenye kodi ya mapato mtu anataka alipe chini TZS 1,000,000 kwa mwaka. Kodi ya mapato inaendana na kipato chako
Mawazo ya kikora hayoTulidekezwa vibaya una biashara kila leo unaongeza magari, nyumba nzuri, vaa nzuri, michango mizuri ya harusi, harambee kubwa kubwa kanisani, watoto English medium ukija kwenye kodi ya mapato mtu anataka alipe chini TZS 1,000,000 kwa mwaka. Kodi ya mapato inaendana na kipato chako
Niko kwenye hii fani. Mfanyabiashara anajikadiria kidogo mwisho wa mwaka akitengeneza mahesabu kodi ni kubwa na inabdili alipe na faini ya kijikadiria kidogo; in one way or another TRA wanajaribu kuwapunguzia wafanyabiasha mzigo wa kodi kubwa wakati wa kuwasilisha ritani ya mwaka na mahesabu yaliyokaguliwaUmeelewa alichokilalamikia huyo mfanyabiashara? Au unasumbuliwa na ukada? Soma vzr.
Tulidekezwa vibaya una biashara kila leo unaongeza magari, nyumba nzuri, vaa nzuri, michango mizuri ya harusi, harambee kubwa kubwa kanisani, watoto English medium ukija kwenye kodi ya mapato mtu anataka alipe chini TZS 1,000,000 kwa mwaka. Kodi ya mapato inaendana na kipato chako
Umejuaje kama mlalamikaji naye hujikadiria jidogo?Niko kwenye hii fani. Mfanyabiashara anajikadiria kidogo mwisho wa mwaka akitengeneza mahesabu kodi ni kubwa na inabdili alipe na faini ya kijikadiria kidogo; in one way or another TRA wanajaribu kuwapunguzia wafanyabiasha mzigo wa kodi kubwa wakati wa kuwasilisha ritani ya mwaka na mahesabu yaliyokaguliwa
Hata muuza nyanya hawezi kua na akili za kimaskini hivo!Umasikini ni mbaya sana. Ukiwa masikini na hauna akili ndiyo matokeo yake haya ya kuwachukia matajiri.
Akitumia milioni 500 au 50 kwenye harusi ww inakuuma nini? Watu watafute hela halafu ww uwapangie cha kutumia.
Ww ni mpiga kelele wala si mfanyabiashara. Mfanyabiashara hana akili hizi. Lbd km unauza nyanya gengeni
Matumizi ndiyo yanayoonyesha uwezo wa mtu kimapato; hoja yangu huo uwezo wa kimapato uonekane kwenye ulipaji wa kodi ya mapatoUmasikini ni mbaya sana. Ukiwa masikini na hauna akili ndiyo matokeo yake haya ya kuwachukia matajiri.
Akitumia milioni 500 au 50 kwenye harusi ww inakuuma nini? Watu watafute hela halafu ww uwapangie cha kutumia.
Ww ni mpiga kelele wala si mfanyabiashara. Mfanyabiashara hana akili hizi. Lbd km unauza nyanya gengeni
Tulidekezwa vibaya una biashara kila leo unaongeza magari, nyumba nzuri, vaa nzuri, michango mizuri ya harusi, harambee kubwa kubwa kanisani, watoto English medium ukija kwenye kodi ya mapato mtu anataka alipe chini TZS 1,000,000 kwa mwaka. Kodi ya mapato inaendana na kipato chako
Nisifanye mambo ya maendeleo na kula bata niwapelekee TRA? Hiyo haiwezekani.Matumizi ndiyo yanayoonyesha uwezo wa mtu kimapato; hoja yangu huo uwezo wa kimapato uonekane kwenye ulipaji wa kodi ya mapato