Mookiesbad98
JF-Expert Member
- Feb 1, 2015
- 3,573
- 4,849
Siyo kweli Mkuu mbona wanatoa kwa wakati! Au unazungumzia ya mwaka Jana?Watu wengi tunakata leseni tunabaki na risiti. Hili swala Kama TRA limewashinda au. Hi ni aibu Sasa. Material za plastic tub za leseni zinawashinda.
Vitu haviendi on time tatizo Nini. Hebu tupeni press release mkieleza what is wrong na leseni za udereva
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ndiyo utueleze uko wapi ili tulinganishe nahuku tuliko. Tatizo hilo lipo sana kwa upande wa leseni daraja la C na E.Mimi nimerenew ndani ya siku 2 tu nimepewa,we upo wapi kwani mkuu?
Hii kitu ipo pale tra tazara ni hatariiii... . ila za chap chap zipo wakishirikiana na yule jamaa wa sumaNimerenew wiki iliyopita napewa kiswahili material Mara kwenda kuvuka mto kurudi. Hi ni issue ndogo lakini inaonesha jinsi gani watu hawafanyi kazi zao ipasavyo.
Uwazi kwenye suala la leseni unahitajika haihitaji siasa hii. Mamlaka husika watuambie kwenye vyombo vya habari tatizo like wapi na linaishaje. Huu si wakati wa kupotezeana muda kwa vitu vilivyowazi.
Tukielezwa shida ipo pale na.pale tutaelewa kuliko kuzungushwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu ukijifanya kufata utaratibu na wao wanafata utaratibu ha ha ha ha wanasema akili za kuambiwa changanya na za kwako mi nili renew within hours tena nikaletewa ofisini na kishokaNaamini hapa ni jamvi kubwa wahusika wanasikia na watayasimamia maoni yangu.
Kuna masuala yanatuonesha kwamba hatuwezi kuendelea kabisa Kama vitu vidogo vitatushinda. Uwazi, maelezo . Time frame indeed
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni maombi ya leseni mpya Au ni ku re-new?Bado mpaka leo nikienda makumbusho naambiwa njoo mwezi ujao. DL department ina matatizo makubwa itabidi wahusika waje watueleze what is going on.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi nimerenew ndani ya siku 2 tu nimepewa,we upo wapi kwani mkuu?
Tangu mwakajana mwezi wa kumi na moja sijapata kitu,