Hali ya uchumi wa Tanzania inategemea pia na uchumi wa dunia, pamoja na changamoto za kiuchumi duniani makusanyo siosio haba.
Pongezi kwa TRA kwa kazi kubwa, kuelekea utekelezwaji wa ilani ya chama tawala haswa kwenye uwekezaji kwenye sekta binafsi na uwezeshwaji mitaji kwa wananchi basi mwaka 2021 utakua wa mafanikio zaidi.
MUNGU IBARIKI TANZANIA