Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 20,558
- 41,321
Uchumi umeyumba Duniani kutokana na hii ishu ya Corona...bidhaa zinazoingia na kutoka zimepungua hayo makusanyo ya kuvunja rekodi yanapatikana wapi...
2021TRA wangekuwa serious na kodi za k/koo tu basi sasa hivi ingekuwa tunaongelea makusanyo ya 5 trillions/month
Kama nchi bado uzalendo kwa watu ni mdogo na hasa wakiangalia manufaa ya kodi yao ni kununua viieetii ya milioni 400 huku wao wakilipia hadi daftari la kujiandikashia hospitali2021
Mabadiliko ni hatua, kwa sasa tunaona kuna maendeleo kwenye hayo mabadiliko kiasi cha kuweza kukemea matumizi mabaya ya fedha za umma.Kama nchi bado uzalendo kwa watu ni mdogo na hasa wakiangalia manufaa ya kodi yao ni kununua viieetii ya milioni 400 huku wao wakilipia hadi daftari la kujiandikashia hospitali