Na hawa wapo wengi pia........hesabu zakufikirikaMiye kuna vichwa kadhaa kwangu vipo sidhani km wanatozwa hiyo 29,000/= maana kila kitu ni free. Wanatafuta ajira bado
Hio ni wastani kutokana na jumla ya mapato. Sio kwamba, ni kweli kila mtu anatoa hiyo pesa, maana hata hivyo kuna watu kama makampuni ambao wanatoa ma millions ya pesa kila mwezi. asanteNa hawa wapo wengi pia........hesabu zakufikirika
Ni kweli, pia kuna wazee na watoto. Pia kuna makampuni ambayo wanatoa ma milioni kwa mwezi. Hiyo ni wastani tu.Miye kuna vichwa kadhaa kwangu vipo sidhani km wanatozwa hiyo 29,000/= maana kila kitu ni free. Wanatafuta ajira bado
Ni kweli mkuu.Nissan Dualis kutoka ushuru wa Milion 5 hadi Milion 8Ushuru wa magari umepanda sana sasa hizo trilion ni balaa kwetu
Acha upumbavu vyoo hakuna mashule dawa hakuna madarasa hakuna ya kutosha unataka kudanganywaAisee 4 tirion inamaana ni 2BILIONS dollar si haba..