Jaji Mfawidhi JF-Expert Member Joined Feb 20, 2016 Posts 16,933 Reaction score 26,018 Jul 22, 2026 #1 TRA na watu wengi wamekuwa wakitudharau sana, sisi watu wa miavuli , Ukweli ni kwamba kwa siku hamna hamna ninalaza 500,000/-. Hapo bado kuna delivery ambazo wala hazipo golini, zinatoka Stoo kwenda Shekilango au kwa Transporter. Nafsi yangu imenisuta kila siku kudanganya maskini wakati nimejenga kibada. Nina gari na watoto wanasoma English Medium ya Wakatoliki. Your browser is not able to display this video.
TRA na watu wengi wamekuwa wakitudharau sana, sisi watu wa miavuli , Ukweli ni kwamba kwa siku hamna hamna ninalaza 500,000/-. Hapo bado kuna delivery ambazo wala hazipo golini, zinatoka Stoo kwenda Shekilango au kwa Transporter. Nafsi yangu imenisuta kila siku kudanganya maskini wakati nimejenga kibada. Nina gari na watoto wanasoma English Medium ya Wakatoliki. Your browser is not able to display this video.
jay-millions JF-Expert Member Joined Apr 30, 2015 Posts 4,605 Reaction score 11,873 Jul 22, 2026 #2 Usiwaponze wamachinga wanaungunga tu
oko majimaji JF-Expert Member Joined Nov 11, 2016 Posts 846 Reaction score 2,261 Jul 22, 2026 #3 Jamaa liongo hili.
Divine... JF-Expert Member Joined May 22, 2015 Posts 1,674 Reaction score 3,245 Jul 22, 2026 #4 Huu nao ni uchawi Kama uchawi wa matunguli, hebu waacheni wenzenu
jiwe angavu JF-Expert Member Joined Aug 28, 2015 Posts 22,192 Reaction score 42,896 Jul 22, 2026 #5 Wewe umetumwa na wenye frem kuwachongra machinga TRA
mjingamimi JF-Expert Member Joined Aug 3, 2015 Posts 46,304 Reaction score 57,031 Jul 22, 2026 #6 Unaandika kutoka viunga vya Lumumba safi sana