Nanyaro Ephata
JF-Expert Member
- Jan 22, 2011
- 1,237
- 1,828
Inasikitisha kama na wewe ni mwanasiasa mbumbumbu kiasi hiki,kwenye masuala ya kodi TRA wanapokamata mali za chakula baada ya kujiridhisha kuwa muagizaji amekwepa kodi...Hugawa mali hizo kwa taasisi za kiserikali kama shule,magereza nk.Weww kama mtunga sheria hapa jiji la Arusha kabla ya kuposti mambo mazito jiridhishe...Jirekebishe,kama maono ndio haya uliyoleta jifunze kusoma mambo ili....Jisahihishe.Nimesikia taarifa ya habari kuwa,Mamlaka ya Mapato Tanzania(TRA) imegawa Sukari yote ya Magendo Mifuko 5,319 yenye thamani ya Zaidi ya Shilingi Milioni 373.5 kwa Taasisi mbali mbali Mkoani Lindi
Sakata la hii sukari lilianza Febuary mwaka huu,unaweza ukajiuliza
Tangu Februari hadi leo nini kilikuwa kinasubiriwa?
Je lini TRA imeanza kugawa BURE vitu vinavyodaiwa kodi?kwa hiyo kesho wakikamata gari ambazo hazijalipiwa ushuru watazigawa bure?
Je, wakikamata mafuta yatagaiwa bure?Haya yanayotokea ni madhara ya nchi kutokuwa na DIRA.
Tunakumbuka miezi miwili nyuma wimbo wa viongozi wote wa serikali kuanzia Dc,RCs,na wakuu wa idara zote za umma ulikuwa ni watumishi HEWA!
Suala la watumishi Hewa halijaisha limekuja suala la sukari sasa hadi TRA ambao sheria inawataka wakusanye kodi,ni mamlaka ya kukusanya kodi,wala sio kutoa vitu ambavyo havijalipiwa ushuru!
Kimsingi hii ni ishara na kielelezo cha Ombwe la uongozi,pamoja na ukosefu wa DIRA
Bila MAONO Taifa huangamia
Kama hujui Sheria kaa kimya....
Ina maana hujui kuwa TRA ina mamlaka kisheria
1: Kupiga fine bidhaa iliyoingizwa kimagendo AU
2: Kuitaifisha na kuigawa
3: Kuiuza?
Hii haijaanza leo,ukipingwa kabla kujibu uliza kwawenzio unaacha akili yako uchi.Kutaifisha na kupiga mnada Ndiyo,je kugawa bure bidhaa ambayo haijalipiwa KODI ni sahihi?
Soma sheria za nchi wewe.Kutaifisha na kupiga mnada Ndiyo,je kugawa bure bidhaa ambayo haijalipiwa KODI ni sahihi?
Kutaifisha na kupiga mnada Ndiyo,je kugawa bure bidhaa ambayo haijalipiwa KODI ni sahihi?
Weka hiyo sheria hapa,Soma sheria za nchi wewe.
""'Nimesikia taarifa ya habari kuwa,Mamlaka ya Mapato Tanzania(TRA) imegawa Sukari yote ya Magendo Mifuko 5,319 yenye thamani ya Zaidi ya Shilingi Milioni 373.5 kwa Taasisi mbali mbali Mkoani Lindi
Sakata la hii sukari lilianza Febuary mwaka huu,unaweza ukajiuliza
Tangu Februari hadi leo nini kilikuwa kinasubiriwa?
Je lini TRA imeanza kugawa BURE vitu vinavyodaiwa kodi?kwa hiyo kesho wakikamata gari ambazo hazijalipiwa ushuru watazigawa bure?
Je, wakikamata mafuta yatagaiwa bure?Haya yanayotokea ni madhara ya nchi kutokuwa na DIRA.
Tunakumbuka miezi miwili nyuma wimbo wa viongozi wote wa serikali kuanzia Dc,RCs,na wakuu wa idara zote za umma ulikuwa ni watumishi HEWA!
Suala la watumishi Hewa halijaisha limekuja suala la sukari sasa hadi TRA ambao sheria inawataka wakusanye kodi,ni mamlaka ya kukusanya kodi,wala sio kutoa vitu ambavyo havijalipiwa ushuru!
Kimsingi hii ni ishara na kielelezo cha Ombwe la uongozi,pamoja na ukosefu wa DIRA
Bila MAONO Taifa huangamia
MKUU naomba usome east africa custom management act... inasemaje kuhusu kugawa bure bidhaaaKutaifisha na kupiga mnada Ndiyo,je kugawa bure bidhaa ambayo haijalipiwa KODI ni sahihi?
SAFI SANA MKUU - BAELEZEEKama hujui Sheria kaa kimya....
Ina maana hujui kuwa TRA ina mamlaka kisheria
1: Kupiga fine bidhaa iliyoingizwa kimagendo AU
2: Kuitaifisha na kuigawa
3: Kuiuza?
Ninaomba hivyo vifungu hapa , ili nijiridhishe kama taratibu zilifuatwa .Kama hujui Sheria kaa kimya....
Ina maana hujui kuwa TRA ina mamlaka kisheria
1: Kupiga fine bidhaa iliyoingizwa kimagendo AU
2: Kuitaifisha na kuigawa
3: Kuiuza?
Halafu wewe inawezekana una cheo ndani ya serikali au chama lakini hutumii hata common sense.Kutaifisha na kupiga mnada Ndiyo,je kugawa bure bidhaa ambayo haijalipiwa KODI ni sahihi?
Na kama huko walikoigawa ni kweli kuna mahitaji hayo na je kweli imegawiwa ? Maana kuna ushahidi wa mgambo wa jiji la dsm kugawana vyakula vya mamalishe vilivyokubaliwa vikamwagwe au kuteketezwa , je huko lindi ustaarabu kama huu hakuna ? Tutajiridhishaje ?Nimesikia taarifa ya habari kuwa,Mamlaka ya Mapato Tanzania(TRA) imegawa Sukari yote ya Magendo Mifuko 5,319 yenye thamani ya Zaidi ya Shilingi Milioni 373.5 kwa Taasisi mbali mbali Mkoani Lindi
Sakata la hii sukari lilianza Febuary mwaka huu,unaweza ukajiuliza
Tangu Februari hadi leo nini kilikuwa kinasubiriwa?
Je lini TRA imeanza kugawa BURE vitu vinavyodaiwa kodi?kwa hiyo kesho wakikamata gari ambazo hazijalipiwa ushuru watazigawa bure?
Je, wakikamata mafuta yatagaiwa bure?Haya yanayotokea ni madhara ya nchi kutokuwa na DIRA.
Tunakumbuka miezi miwili nyuma wimbo wa viongozi wote wa serikali kuanzia Dc,RCs,na wakuu wa idara zote za umma ulikuwa ni watumishi HEWA!
Suala la watumishi Hewa halijaisha limekuja suala la sukari sasa hadi TRA ambao sheria inawataka wakusanye kodi,ni mamlaka ya kukusanya kodi,wala sio kutoa vitu ambavyo havijalipiwa ushuru!
Kimsingi hii ni ishara na kielelezo cha Ombwe la uongozi,pamoja na ukosefu wa DIRA
Bila MAONO Taifa huangamia
Achana na huu upumbavu unajiaibisha.Kaa kimya!Weka hiyo sheria hapa,
Hoja yako inahamahama, tatizo lako Ni bora TRA wangepiga mnada hiyo Sukari kuliko kuigawa bure kwa taasisi? Najaribu kukuulewa mkuu!Kutaifisha na kupiga mnada Ndiyo,je kugawa bure bidhaa ambayo haijalipiwa KODI ni sahihi?