ukiwa na GPA kubwa unatakiwa uwe mwalimu vyuoni ili usaidie kuandaa wataalam wengine sio kwenda kuua taaluma yako kisa tu rushwa nchi hii imeoza ndo maana professors na doctors wengi wanakimbilia kwenye siasa.Walisema wanataka upper second. Sio kazi yao ya ku specify upper second ya aina gani....
Upper second ya 3.9 haina jina maalum...
Furthermore, application zilikuwa nyingi sana. Wangeanza 3,5 ingebidi watoe aptitude test za watu 1,500. Not cost effective when looking for 40 people
sijui anadhani huko utumish kuna watu wa aina gani? Suluhisho ni kufufua na kuanzisha viwanda, then tuwe serious katika kilimo na ufugaji
Naomba kuwasilisha na kupata mawazo na michango yenu wana jf hivi mnaonaje ajira za tra zikawa zinatangazwa na utumishi angalau kupunguza undugu na usiri wanaoufanya hawa jamaa wa tra, kwa sababu hawa jamaa wamezidi kuajiriana kwa kujuana sanaaa afadhali hata hawa wa utumishi sie watoto wa wakulima tunaitwaga mara chache kwenye hizo interview zao.
Note: Ni idea tu imenijia nikaona nipate michango chanya kutoka kwa wana jf na mitazamo ya great thinkers wa jukwaa la kazi na tenda
Walisema wanataka upper second. Sio kazi yao ya ku specify upper second ya aina gani....
Upper second ya 3.9 haina jina maalum...
Furthermore, application zilikuwa nyingi sana. Wangeanza 3,5 ingebidi watoe aptitude test za watu 1,500. Not cost effective when looking for 40 people
Hapa naona hoja hamna. Swali....
Application za kazi 40 zinakuja 12,000. Unatumie vigezo gani kuchuja wafike watu 300 ili wawe interviewed.
Huko utumishi na watawachuja vipi?
Riddle me that...
tRA wamekuwa very professional kwenye Kuajiri. What mattered was ur GPA. Sasa wewe una Gentleman Pass wakusaidiaje?
Bado upo kwenye Old stone Age π€π€π€π€πππtRA wamekuwa very professional kwenye Kuajiri. What mattered was ur GPA. Sasa wewe una Gentleman Pass wakusaidiaje?