Naomba kuwasilisha na kupata mawazo na michango yenu wana jf hivi mnaonaje ajira za tra zikawa zinatangazwa na utumishi angalau kupunguza undugu na usiri wanaoufanya hawa jamaa wa tra, kwa sababu hawa jamaa wamezidi kuajiriana kwa kujuana sanaaa afadhali hata hawa wa utumishi sie watoto wa wakulima tunaitwaga mara chache kwenye hizo interview zao.
Note: Ni idea tu imenijia nikaona nipate michango chanya kutoka kwa wana jf na mitazamo ya great thinkers wa jukwaa la kazi na tenda
Ndugu yangu kwani na hao utumishi unawaamini kwa asilimia ngapi? Tafakari na chukua hataua maana kote kumeoza tunahitaji mapinduzi kila sehemu
tRA wamekuwa very professional kwenye Kuajiri. What mattered was ur GPA. Sasa wewe una Gentleman Pass wakusaidiaje?
Sio ishu ya GPA nani kakudanganya???? Maeneo mengi kuajiri kwa kufuata misingi stahili imekuwa ngumu na sio TRA pekee.tRA wamekuwa very professional kwenye Kuajiri. What mattered was ur GPA. Sasa wewe una Gentleman Pass wakusaidiaje?
tRA wamekuwa very professional kwenye Kuajiri. What mattered was ur GPA. Sasa wewe una Gentleman Pass wakusaidiaje?
Inawezekana unachokisema ni sahihi, ila sielewi umejuaje kama ni wote. Na kukosa kazi huko TRA haimaanishi hiki ulichokiandika hapa chini.Mi naongea from experience za customs jobs recently. Tulifika pale mtu 300, wote wamechujwa kwa GPA.
Then tukafanya aptitude test. Wakapanga from matokeo yake, waliofeli wakaachwa.
What do u want from them? Mi nimepata kazi huko fair and square, bila refa wala nini. Just my GPA, aptitude result na kujibu maswali ya interview.
tRA wamekuwa very professional kwenye Kuajiri. What mattered was ur GPA. Sasa wewe una Gentleman Pass wakusaidiaje?
Msiwe wavivu wa kufikiria...
Wakisha shortlist kwa GPA then wanatoa aptitude test. Hyo inachuja wote walionunua hizo GPA. Kuna waliopata 14% kwenye aptitude simpo tu, pamoja nakua na GPA ya 4.3.
Isitoshe then wanakupiga oral interview. If ulifika pale kwa ngon* definitely u won't make it...
Hehe.... They professional son, don't hate for no reason.
3.9 mkuu....