Kama tunazumgumzia biashara tatizo la msingi ni kutokuwa na risiti zako (ziwe za mauzo, manunuzi, matumizi mengine au gharama za biashara) risiti zote hizo ukiwa nazo wakati wanakuja kudai kodi na kama umetumia accountant kukufanyia hesabu zako TRA awawezi kukukadiria kodi ya ajabu.
Kinachoitajika ni independent accountants kujaza gap kwa wafanyabiashara wasioweza kuajiri professional on full time, vinginevyo wao wenyewe wajifunze accounts au haya malalamiko ayatoisha miaka 800.