RUV ACTVIST.
JF-Expert Member
- Jan 14, 2012
- 472
- 111
Kuwaita watu zaidi ya 1000 kwenye interview kwa nafasi isizozidi 20 ni udhalilishaji.
wanasajili.wala rushwa wapya
Kuwaita watu zaidi ya 1000 kwenye interview kwa.nafasi isizozidi 20 ni udhalikishaji....
Mimi naona sawa tu. Na hapo mchujo unaendelea, baada ya written watajichuja vizuri sana.
Kikubwa wajitahidi tu kutenda haki kwenye marking, na kwenye kubakiza waliopita.
Wapewe namba na sio kutumia majina
UdhaliKIshaji= Udhalilishahi
Ni kweli kabisa lazima wajifunze kufanya shortlisting angalau wangeita 100 hivi, anyway ndio Tanzania hii
UdhaliKIshaji= Udhalilishahi
Ni kweli kabisa lazima wajifunze kufanya shortlisting angalau wangeita 100 hivi, anyway ndio Tanzania hii
Kwa uzoefu wa TRA hata 100 ni wengi. Only 30 potential candifates
Hapo wamesha short list.
short list ina mwisho.Mfano umeshort list weeee umebakiza watu 1000 wote wana sifa zinazofanana.Unatakiwa uwaite wote kwenye interview
Hapo wamesha short list.
short list ina mwisho.Mfano umeshort list weeee umebakiza watu 1000 wote wana sifa zinazofanana.Unatakiwa uwaite wote kwenye interview