Kweli kabisa na mbuzi mzembe hunyongwa na kamba yake, hili ni soko la kibepariKila mbuzi atakula kulingana na urefu wa kamba yake
Unaweza kuweka akiba ya shilingi ngapi kwa mwezi kwenye shilingi 450,000?Mkataba ukiisha hupaswi kuonekana eneo la kazi. Ni amri kutii sheria bila shuruti...
Jukumu la kufundishwa kuishi bila kazi ni la mwajiri ambako ulikua unafanya kazi?Jana wakati natoka kazini, nilipata wasaa wa kupitia maeneo yangu ya kujidai TABATA. Kwa bahati nilikutana na kijana mmoja ambaye nilimfahamu kupitia kazi zetu hizi...
Hizo Ela kwani zilikua zinaingia zote kwenye kibubu mkuu?MKATABA UKIISHA HUPASWI KUONEKANA ENEO LA KAZI. NI AMRI KUTII SHERIA BILA SHURUTI.
VIJANA WALIPEWA MKATABA WA MIAKA MIWILI NA KILA MWEZI WALILIPWA LAKI NNE NA NUSU (450,000) PER MONTH. KWA MIAKA MIWILI HIYO NI SAWA NA MILIONI KUMI NA LAKI NANE. 10,800,000.
MUULIZE KIJANA PESA ZOTE HIZO KAPELEKA WAPI? ILIPASWA WAKIMBIZWE KABISA. TATIZO LA WABONGO HAWANA SHUKRANI.
Motivational speaker bana hio 10.8m utadhani ilikua haina gharama nyingine za Maisha(Kodi,kula,usafiri) etcMKATABA UKIISHA HUPASWI KUONEKANA ENEO LA KAZI. NI AMRI KUTII SHERIA BILA SHURUTI.
VIJANA WALIPEWA MKATABA WA MIAKA MIWILI NA KILA MWEZI WALILIPWA LAKI NNE NA NUSU (450,000) PER MONTH. KWA MIAKA MIWILI HIYO NI SAWA NA MILIONI KUMI NA LAKI NANE. 10,800,000.
MUULIZE KIJANA PESA ZOTE HIZO KAPELEKA WAPI? ILIPASWA WAKIMBIZWE KABISA. TATIZO LA WABONGO HAWANA SHUKRANI.
Huu ni mshahara au ujira mdogo?hii ni sawa na nauli tu kwa kupanda basi 3 za kuungaunga kwa mwezi mmoja.MKATABA UKIISHA HUPASWI KUONEKANA ENEO LA KAZI. NI AMRI KUTII SHERIA BILA SHURUTI.
VIJANA WALIPEWA MKATABA WA MIAKA MIWILI NA KILA MWEZI WALILIPWA LAKI NNE NA NUSU (450,000) PER MONTH. KWA MIAKA MIWILI HIYO NI SAWA NA MILIONI KUMI NA LAKI NANE. 10,800,000.
MUULIZE KIJANA PESA ZOTE HIZO KAPELEKA WAPI? ILIPASWA WAKIMBIZWE KABISA. TATIZO LA WABONGO HAWANA SHUKRANI.
Mimi naweza.kuweka laki 1 na 80.Unaweza kuweka akiba ya shilingi ngapi kwa mwezi kwenye shilingi 450,000?
Sent from my TECNO-C9 using JamiiForums mobile app