TRA,EFD mashine used nini tatizo?

Diesel generator

JF-Expert Member
Apr 5, 2015
706
660
Nijielekeze kwenye hoja. Baadhi ya wafanya biashara wamefunga biashara Zao. Wana machine za EFD nzima tu zimepaki.

Mimi mfanyabiashara mdogo mnaenihimiza kuwa na mashine kwa mtaji wa 1milioni hauniluhusu kununua efd mpya. Ila naweza pata iliotumika na nzima bule au kwa bei ndogo.

Nimeulizia kwa wakala ikiwa naweza sajiliwa na kwa utalatibu wao.Jibu ni haiwezekani kabisa!!. Hii ni teknolojia !! Nini hakiwezekani? Kuweka utaratibu unaokubalika ndio haiwezekani?. Mbona simu,gari inawezekana? .

Kwanini kusiwe na utaratibu wa efd kutumika kwa mtu wa pili ? Ukizingataia wa kwanza alisajiliwa na taarifa zake zipo ktk system na kwenye mashine?

Suala ni kubadilika mmiliki Toka tarehe anayosajiliwa!!. Ili Wenye nia Njema ya kutumia EFD pia tuchangie uchumi wetu. Thinkers wa mfumo huu Hilo amuwezi shauli ikawezekana?

Yaani nikipanga kufanya biashara nikanunua EFD , kisha nikahamishwa au kuailisha kufanya biashara na EFD mpya niliyokuwa nimenunua ndio itakuwa kifo chake?. kuna wajibu wa kutekeleza apa.

Fikilieni upya.
 
Kweli kabisa ila hawawezi kufata ushaauri huu kwa maslahi kandamizi wanayoyajua wao
 
Ikiwa kweli maajenti wanao to a huduma ya mashine hizi wanna NIA ya dhati kuisaidia serekari kupata kodi hili inawezekana. Ikiwa wanalenga zaidi biashara yao tu NDIO inashindikana. KWA uzalendo walipaswa kuwa wameishauli TRA. Swala apo ni uhamisho wa mmiliki (second transfer tin no ...
Date of transfer....,first owner..., New owner start date..) mfumo uwe unaonekana kwenye system.ofisa tra akifungua tu anaona. jambo linawezekana. Zaidi ni mfumo wa kudhibitisha umeipata kihalali. Labda barua ya kuuziwa au kupewa bure, au vyovyote inavyofaa.
 
Hili suala limeshapatiwa majibu?
 
Back
Top Bottom