Prince Akeem
JF-Expert Member
- May 26, 2013
- 886
- 382
Niaje wadau. Mimi nina gpa ya 2.7 na wamenipigia simu na kunitumia email. Wamekosea au ninastahili maaana naogopa hata kwenda

Shark aliekwambia Gpa ndo mshahara nani? Upo kwenye soko la ajira kwel wewe?
kaka. gpa ya 2.7 na cpa juu itanifikisha katika malengo yangu. MULUGO hausiki,o level na advance nina matokeo mazuri sana
Sasa unafikiri Mkiitwa kwenye Company Moja but we una viji-pass vyako vilivyotokana na Supp za kumwaga plus Minusuriko ya Disqualified kila mwaka baada ya kubebeleza sana Walimu na kuwahonga wengine, mwenzio ana mabanda, akifeli sana basi B+ mtalingana??
niliandika na gpa ya 2.7 na wakaniita. labda sababu nina cpa