TRA Arusha wanafukuza wafanyabiashara

TRA Arusha wanafukuza wafanyabiashara

Dod
unadhani hawajui Basi. Ni wakwepa Kodi wakubwa ndio maana jamii hizi za kihindi wasomali Na waarabu hawawezi biashara ulaya wakapata faida ya kutisha mzungu Hana Sanaa huku fair play ukimuona tajiri yeyote ulaya muheshimu.

Hata Kama Sizonje akatubu kwaajili ya mustakabali wa Taifa kwaa hili la watu kulipa kodi msela apongezwe Na kuungwa mkpno
Mzee elfayed ( baba yake doddi ) ni mzungu ? Mmiliki wa mancity naye ni mzungu ?
 
Dod
Mzee elfayed ( baba yake doddi ) ni mzungu ? Mmiliki wa mancity naye ni mzungu ?
Ni wachache mno halafu kwenye jamii/kundi la watu wabaya wengi Huwezi kukosa wazuri wachache vilevile kwenye jamii ya watu wema. Sasa tulia

Lazima ATUBU TUUUU
 
Back
Top Bottom