TRA Arusha wanafukuza wafanyabiashara

TRA Arusha wanafukuza wafanyabiashara

Kweli kabisa hapa atusha wanakula rushwa sana mi ntatoa ushahidi ikibidi

Mkuu hapa jukwaani ndio mahali pakuweka dukuduku lako japo sio sehemu rasmi lakini hapa ujumbe unafika vizuri kwa walengwa. Kumbuka zile expansio joints za jengo la chuo kikuu. Sasa kila kiongozi utasikia anasema mijadala inayoendelea mitandaoni. Huko kwenye magazeti hakuna anayefuatilia sana kwani wanabanwa mno, ukiwaandikia e-mail hawajibu maana waswahili wa pemba hujuana kwa vilemba. Mwaga vitu hapa hapa hadharani.
 
Mfanyabiashara yupo tayari kulipa Kodi ya pango ya frem Sh. 3,600,000 kwa mwaka, lakini anaona anaonewa kwa kukadiriwa Kodi ya Mapato ya Sh. 546,000 kwa Mwaka!!!!!! Wenzenu waajiriwa wanakatwa Kodi kila mwezi Bila malalamiko! Tulipe Kodi kwa maendeleo yetu.
Pango inaweza ikawa bora kama kodi tunazolipa zinatumika ovyo bila kufuata taratibu na sheria za nchi!!!!Mh president alianza vizur na watu walihamasika sana kulipa kodi.Lazima tukubali kuwa wananchi kwa sasa hawaoni impacts ya kodi zao kwenye maisha zaid ugumu wa maisha.
 
Mfanyabiashara yupo tayari kulipa Kodi ya pango ya frem Sh. 3,600,000 kwa mwaka, lakini anaona anaonewa kwa kukadiriwa Kodi ya Mapato ya Sh. 546,000 kwa Mwaka!!!!!! Wenzenu waajiriwa wanakatwa Kodi kila mwezi Bila malalamiko! Tulipe Kodi kwa maendeleo yetu.
Hapo kwenye waajiriwa hata mi nashindwaga kuelewa ..mwajiriwa anaweza akawa napokea kwamwaka 1m anakatwa arround 150,000/= PAYE ukizidisha mara 12 inakuja arround 1.5m kodi wakati hii ni kwa mlipa kodinwa kupeleka hesabu mwenye mauzo(turnover) inayozidi 20m kwa mwaka

Hili swala silielewagi kabisa[emoji119]
 
Kwa mwezi 1m sio kwa mwaka kama ilivyo hapo
 
Kwa
Arusha iko chini ya Chadema lakini ni rushwa tupu.

Chadema hamuyaoni haya?
ni TRA iko chini ya Chadema?? au Chadema imeeajiri?? Ninyi ndio mmeweka watu wenu wala rushwa ili mseme chadema hawaoni?? na wote huko ni ni makada wa ssm na ndio wenye vyombo vyote vya kushughulikia na mambo ya rushwa na hata yakipelekwa malalamiko wanaambiwa ni ya kisiasa.. sasa mlitaka chadema wafanyeje kama sion upunguan wenu??
 
Kwa hiyo kazi ya viongozi wa chadema ni kulamba ruzuku ya chama tu??
 
We pimbi ushawai kufanya biashara hata ya kuuza karanga
*NINACHOJUA NI KITU KIMOJA TU KILA AFANYAYE BIASHARA LAZIMA ALIPE KODI.
*KILA AINGIZAYE KIPATO LAZIMA ALIPE KODI
*MLIZOEA KUTOLIPA KODI KWA MUDA MREFU SANA
*SIASA HAZITAWASAIDIA CHOCHOTE KILE
*LIPENI KODI
MATUSI HAYANA FAIDA WALA MSAADA WOWOTE ULE.
*KULIPA KODI NI WAJIBU*
 
Sina hakika kama TRA wanatoza kiwango hicho cha kodi piga hesabu vizuri hiyo bei hilo frem lipo katikati ya mji
G_crisimwezit: 25078458 said:
Mfanyabiashara yupo tayari kulipa Kodi ya pango ya frem Sh. 3,600,000 kwa mwaka, lakini anaona anaonewa kwa kukadiriwa Kodi ya Mapato ya Sh. 546,000 kwa Mwaka!!!!!! Wenzenu waajiriwa wanakatwa Kodi kila mwezi Bila malalamiko! Tulipe Kodi kwa maendeleo yetu.
 
TRA Arusha hawana ushirikiano na wafanyabiashara wa kati hawa wanaosumbuliwa kila kukicha na kukadiliwa kodi kubwa kuliko kipato chao...nimeona usumbufu na vitisho sana Arusha..
 
Tunataka kuona viongozi wa chadema wanafanya kazi
Ya kumsifia mfalme kinafiki huku akididimiza maisha ya watu na taifa kwa ujuma.Alafu anatumia simple words """wanaolalamika walikua wapiga dili""!!!.utafikir yy hakwemo kwenye hyo serkali ya wala dili.Tumwambie ukweli aache kucheza na maisha ya watu kwa maneno mepesi
 
Hata rushwa ya arusha mnamsubiri magufuli?
Lema is how you work??
 
Mwambie na dhalimu alipe kodi. Kukwepa kodi kwa mshahara wa zaidi ya milioni 400 kwa mwaka huku Watanzania wenye mshahara wa chini ya milioni 3 kwa mwaka wanakatwa kodi ni ufisadi na uovu mkubwa sana.

ACHA UONGO MTOA POST
TRA WANATIMIZA WAJIBU WAO WA KUKUSANYA KODI
WALIPA KODI ARUSHA WALIPE KODI NI WAJIBU WAO
 
*NINACHOJUA NI KITU KIMOJA TU KILA AFANYAYE BIASHARA LAZIMA ALIPE KODI.
*KILA AINGIZAYE KIPATO LAZIMA ALIPE KODI
*MLIZOEA KUTOLIPA KODI KWA MUDA MREFU SANA
*SIASA HAZITAWASAIDIA CHOCHOTE KILE
*LIPENI KODI
MATUSI HAYANA FAIDA WALA MSAADA WOWOTE ULE.
*KULIPA KODI NI WAJIBU*
We Iyo buku Saba unayolipwa per day hapo LUMUMBA unailipia kodi
 
Watuuuu wanafungiwaa maduka na acc zaooo..ukitoa helaaa wanaufungulia
We pimbi ushawai kufanya biashara hata ya kuuza karanga

Huonikaweka pichayake bosi amwone amwongeze cheo kwikwiiii
 
Tunaomba tuangaliwe kodizijiko juu watuwamefunga na kufungiwa madukayao

Embu acha uchochezi. Ni duka gani lililofungwa kwa kuwa kodi ipo juu? Hoja hujibiwa kwa hoja na sio kwa propaganda.
 
Back
Top Bottom