TRA Arusha wametumwa na CHADEMA?

Mnalalamika nini ? au nyie ni mafisadi na wakwepa kodi?
 
Ndivyo serikali hii inavyowatesa watu wake kwa kodi za kubambikiziwa hata kama hakuna mapato yoyote, udhalimu huu mwisho October.
 
Kwa hiyo hamtaki kulipa Kodi? Maisha magumu huku biashara mumefungua acheni michezo ya kutaka kuibua serikali, hao TRA ndo muda wa quarter kukusanya mapato.
 
Huo ndiyo uchumi wa kati unaohubiriwa na "mitano tena"....in Bagonza's voice.
 
Hivi ukiwa chadema na Akili anabaki nayo kibaraka!!? Ebu lipeni kodi acheni utahira.
 
Mkuu ndio kusema umemuamini Lisu aliposema kuwa hatatoza kodi kabisa??
 
Mkuu ndio kusema umemuamini Lisu aliposema kuwa hatatoza kodi kabisa??

Hakuna serekali duniani isiyotoza kodi lakini kina mazingira ambayo lazima uzingatia kabla ya kuchukua fedha kutoka katika biashara au viwanda.

Ni ajabu biashara nyingi zipo hoi lkn bado unataka kodi
 
Hakuna serekali duniani isiyotoza kodi lakini kina mazingira ambayo lazima uzingatia kabla ya kuchukua fedha kutoka katika biashara au viwanda.

Ni ajabu biashara nyingi zipo hoi lkn bado unataka kodi
Kwahiyo pendekezo lako ni kuwa usilipe kwa miaka mingapi??
 
Kwahiyo pendekezo lako ni kuwa usilipe kwa miaka mingapi??

Kiwango cha kodi ya mapato kipunguzwe kwakuwa biashara nyingi ziliathirika kuanzia mwezi April to September 20.
 
Hivi ukiwa mwana chadema unakuwa na mtindio wa ubongo? Kwani kulipa kodi nalo limekuwa jambo la ajabu sana? Yani Lissu akiingia hamtolipa kodi? Kwa hiyo ulitaka TRA wasiwakumbushe kulipa kodi? Kama hufanyi biashara na umefunga biashara si kuna utaratibu? Hivi ninyi nchi mtaiendesha vipi? Kama kodi hamtaki kulipa?

Hivi ukiwa mwana chadema unakuwa chizi chizi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…