Kwani aliemteua kamishina wa TRA humjui?
Lissu hawezi kuongea wapiga kura hata siku moja
Hapa anawakumbusha wananchi kuwa lisu anasema ukweliNinachokiona Kamishna wa TRA anarahishisha hoja ya Lissu kuhusu TRA kufilisi wafanyabiashara.
Fikiria mfanyabiashara wa utalii aliyekadiriwa kodi ya mapato kabla ya Corona (January) kwa mujibu wa TRA bado atatakiwa kulipa kiwango kile kile bila kujali athari za Covid 19.
Siku ya kufa Chatu huwa anaanza kujimeza mwenyewe
Wametumwa na commissioner wa TRA,naye kaagizwa na Dotto apeleke hesabu mapema na Dotto nae ni oder ya Uncle.
Ili tuje kuambiwa mapato yameongezeka