mirindimo
JF-Expert Member
- Nov 2, 2009
- 892
- 1,709
Kama kuna kitu kitaendelea kurudisha nyuma jiitihada zetu za kulipa kodi na kumuunga mkono rais ni hili la system zetu za ki IT kua poor kila siku na tutaendelea kuiba.Sasa fikiri mteja anaingiza mauzo yake anakutana na hiyo kitu unafikiri atafanya nini ? Na hii sio mara ya kwanza sijajua TRA hua wanafanya nini kwenye server zao huko ndani wakati huo na pia kuna kukatika kwa network kila ijumaa ya mwisho wa mwezi na mengine mengi......ngoja niyakusanye narudi