Y yewomi Member Joined Jul 20, 2012 Posts 78 Reaction score 27 Oct 29, 2013 #1 Kwa wale mliofanikiwa kufika NBAA tunaomba mtujuze kama wameshaweka matokeo
winky Senior Member Joined May 8, 2013 Posts 140 Reaction score 111 Oct 29, 2013 #2 Wameweka wamechukuliwa watu 19 tuu
SOKETI JF-Expert Member Joined Jul 24, 2010 Posts 206 Reaction score 50 Oct 29, 2013 #3 Naipongeza bodi kwa kazi nzuri waliyo ifanya, Ila kinacho nishangaza ni kukosekana kwa jina la mtu wa 20, na ni kwa nn wawe 19 na anayefata maksi alizopata hazijafungana na mtu !
Naipongeza bodi kwa kazi nzuri waliyo ifanya, Ila kinacho nishangaza ni kukosekana kwa jina la mtu wa 20, na ni kwa nn wawe 19 na anayefata maksi alizopata hazijafungana na mtu !
SUPERUSER JF-Expert Member Joined Jun 11, 2011 Posts 960 Reaction score 308 Oct 29, 2013 #4 naskia wote walioitwa kesho for oral wamepigiwa sim...then wamebandika marks za kila aliepiga pepa
kimwanzagala New Member Joined Sep 12, 2013 Posts 3 Reaction score 0 Oct 30, 2013 #5 hakuna mwenye majina tuona na akina sie tumepata ngapi?
Y yewomi Member Joined Jul 20, 2012 Posts 78 Reaction score 27 Oct 30, 2013 Thread starter #6 Nashukukuru kwa taarifa mana wengine hatujaweza kufika hapo
winky Senior Member Joined May 8, 2013 Posts 140 Reaction score 111 Oct 30, 2013 #7 SUPERUSER said: naskia wote walioitwa kesho for oral wamepigiwa sim...then wamebandika marks za kila aliepiga pepa Click to expand... Marks zimebandikwa saa ngapi?? Naondoka pale zimebandikwa namba tu za watu hayo.matokeo ya marks yamebandikwa wapi.tena namba zisizo na majina
SUPERUSER said: naskia wote walioitwa kesho for oral wamepigiwa sim...then wamebandika marks za kila aliepiga pepa Click to expand... Marks zimebandikwa saa ngapi?? Naondoka pale zimebandikwa namba tu za watu hayo.matokeo ya marks yamebandikwa wapi.tena namba zisizo na majina
SOKETI JF-Expert Member Joined Jul 24, 2010 Posts 206 Reaction score 50 Oct 30, 2013 #8 winky said: Marks zimebandikwa saa ngapi?? Naondoka pale zimebandikwa namba tu za watu hayo.matokeo ya marks yamebandikwa wapi.tena namba zisizo na majina Click to expand... maksi zilibandikwa mda ule ule. Baada ya kubandika kwenye ubao wa mbele namba za waliofuzu na kukosa nafasi ya kubandika maksi, ilibidi wawaambie watu kuwa maksi za kila mmoja wanaenda kuzibandika ubao wa nyuma.
winky said: Marks zimebandikwa saa ngapi?? Naondoka pale zimebandikwa namba tu za watu hayo.matokeo ya marks yamebandikwa wapi.tena namba zisizo na majina Click to expand... maksi zilibandikwa mda ule ule. Baada ya kubandika kwenye ubao wa mbele namba za waliofuzu na kukosa nafasi ya kubandika maksi, ilibidi wawaambie watu kuwa maksi za kila mmoja wanaenda kuzibandika ubao wa nyuma.