wengiwengi
Member
- Jun 13, 2014
- 30
- 23
TPDC wameanza last wik kuita watu kazini waliofanya intv mwezi May mikochen. Wengi wa waliotwa ni upande wa engneering na walitakiwa kwenda kufanya medical checkup kabla ya j5 ya tar 20/8 pale tmj teyari kwa kuanza kazi J3 ya tar 25/8.
KWETU SINGIDA,tupo check up tmj tutawajulisha badae
Ahsante kwa taarifa Mkuu WENGIWENGIHuwa wanakupigia simu kukupa habari. namba yao ni 0222200104
mkuu tutonye basi, hizo zilizobaki wataita lini? yaani hapa natembea na simu hadi chooni kama nitapigiwa nisimiss call, pressure juuHuwa wanakupigia simu kukupa habari. namba yao ni 0222200104
Huwa wanakupigia simu kukupa habari. namba yao ni 0222200104
Wadau
haya ni baadhi ya majina ya walioitwa kazini
Wadau
haya ni baadhi ya majina ya walioitwa kazini