TPDC wamenifyeka, ndoto zangu za Mtwara kwisha

TPDC wamenifyeka, ndoto zangu za Mtwara kwisha

Community Development Officer ll, ndio nafasi ambayo niliomba na kufanya "written interview" siku ya jumapili iliyopita 06 April. tulifanya interview 353 lakini wakachagua 16 kwa ajili ya "oral interview" maana wanahitaji watu 4 tu. Nilifikiri ndoto zangu za kwenda kufanya kazi na wanaMtwara zingetimia lakini haikuwa hivyo maana jana naingia kwenye "website" yao kupitia kasimu kangu nikaona namba yangu si kati ya zile zilizotiwa kivuli,yani kivuli kiliishia kwenye no. ya juu yangu! aisee!. Acha niwaze mengine hili limeshapita. Kila la kheri Mliochaguliwa !!

pole sana. Bahat yako ipo tu. Bt kwa iyo competition c vizur sana kuitegemea 100%.
 
Hama kweli dunia duara kipindi tunakua nikiwa pande hizo za lindi mtwara watu walikuwa wanalia kupangiwa lindi na mtwara kwa ss wt wanalilia mtwara pole sana kk ua best looser its mean kuna ushindi karibu yako unakuja

maisha yapo kasi sanaa!!
 
Wadau mnijuze na mm matokeo ya ELETRICAL TECHNICIANS coz tumefanya interview tangu tar 04 bt mpaka sasa hawajatoa updates.:loco:
 
Jamani kwa wale walio bahatika oral, vipi mnatetesi kuhusu Oral itakuwa lini? Maana wameandika kuwa watacomunicate ila hawajasema kwa njia ipi ya simu au email kama ni simu na huu mgao wa umeme na network za kuunga hapo tu ndo nina wasiwasi.
 
Nadhani wataweka thru their website...so keep your eyes on watching over there.
 
Jamani naomba kujuzwa kuhusu matokeo ya interview ya TPDC wale tuliofanya tarehe 7/4/2014, wako kimya wakati walisema kesho yake tu mtapata matokeo...! (finance officer)
 
dah! POLE SANA ILA WE KAZA BUTI HUJUI MUNGU AMEKUPANGIA WAPI BAHATI YAKO AU NAFASI YAKO IPO MAHALA GANI
 
Hawajaweka za Finance officer (Senior nor II), huku wakisema watu wa Mikoani bakini kwani kuanzia kesho muangalie kwenye website yetu, tutakuwa tumeweka. Lakini holaaaa!! Wabongo bana hatujui thamani ya muda. Interview ya saa 4:00 asubuhi inaanza saa 7:30 mchana ya saa 8:00 ina anza saa 10:30 jioni.
 
Alafu na hiyo ishu yakutotangaza oral itakuwa lini hadi leo watu wa mikoani wapo tu bana wangesema mapema basi.
 
pole sana ndugu but Usikate tamaa Mungu atafungua milango mingine
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom