TPDC wamenifyeka, ndoto zangu za Mtwara kwisha

TPDC wamenifyeka, ndoto zangu za Mtwara kwisha

Malingumu

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2012
Posts
616
Reaction score
433
Community Development Officer ll, ndio nafasi ambayo niliomba na kufanya "written interview" siku ya jumapili iliyopita 06 April. tulifanya interview 353 lakini wakachagua 16 kwa ajili ya "oral interview" maana wanahitaji watu 4 tu. Nilifikiri ndoto zangu za kwenda kufanya kazi na wanaMtwara zingetimia lakini haikuwa hivyo maana jana naingia kwenye "website" yao kupitia kasimu kangu nikaona namba yangu si kati ya zile zilizotiwa kivuli,yani kivuli kiliishia kwenye no. ya juu yangu! aisee!. Acha niwaze mengine hili limeshapita. Kila la kheri Mliochaguliwa !!
 
pole sana mkuu nd mipango ya Mungu dnt gve up kuna sehemu tu una nafasi
 
Mtwara is hot now...kila mtu anawish akafanyie kazi kule, tofauti na miaka ile ya Nyerere na Alhaj...
Maajabu haya. Ila pole just komaa zamu yako yaja.
 
Wala usijali bahati yako haiko huko jaribu sehemu nyingine mungu ni wa wote.
 
Hama kweli dunia duara kipindi tunakua nikiwa pande hizo za lindi mtwara watu walikuwa wanalia kupangiwa lindi na mtwara kwa ss wt wanalilia mtwara pole sana kk ua best looser its mean kuna ushindi karibu yako unakuja
 
ndio hivyo wadau,acha tukomae kwingine, 1 day "yes"
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom