+255
JF-Expert Member
- Jan 1, 2012
- 1,939
- 762
Walioziona wamelinga kweli,nimeomba watusaidie kuweka hapa lakini wakuu wamegoma....tuwekeeni jamani
Ni pages 25, so wakizi paste zote hapa itakuwa ni kero tena kwa wanaotumia simu kwenye ku scroll.
Walioziona wamelinga kweli,nimeomba watusaidie kuweka hapa lakini wakuu wamegoma....tuwekeeni jamani
tunaomba msaada wenu simuyangu haifungui pdf file,mkiziweka hapa Mungu awabariki.nimecheki zimetulia kweli lakin vigezo navyo vimeshiba ila tukapambane..........iyo tpdc ps 5 inaonekana imetulia