Bwana mbuyula acha kupoteza muda kuwaza kuhusu kupigiwa cm au la. Ni kwamba hawa jamaa kwenye web yao waliandika kuhusu kucontact watu via cm lakin inavyoonekana hawakufanya hivyo. Group letu wote hatukupigiwa cm hivyo tulienda kwenye intervw with the guide of info dat was given ealier in the tpdc web that we were selected and eligible for the forthcoming oral intetvw. So kwa ufupi kama ulipass their written test as the results were punched on their web, please dont waste time to wait their call instead get prepared to attend oral intervw.