GRAPHICS DESIGN
Senior Member
- May 28, 2014
- 103
- 39
Pole Mkuu.Habarini za asubuhi wadau, samahani naomba kwa wale waliopiga test jana TPB BANK tujuzane kama matokeo wametoa au kama kuna mtu katumiwa meseji kama walivyosema jana atujuze. Tunashindwa kurudi mikoan kwetu tukaendelee na shughuli.
Hakuna shida, Ni utaratibu tunikiapply tpb cjawahi itwa shida ni nn
umetumiwa saa ngp?Washatuma sms oral J3 mkuu...
Hongeraaaaaaa wamekutumia liniWashatuma sms oral J3 mkuu...
Mlio fanya test mlikuwa wangapi kwenye chumba cha mtihani
Umetumiwa? Iweke hapa tuone acha kurush Roho watu๐๐Washatuma sms oral J3 mkuu...
hahaha jau aiseeYaani katika wote walofanya ma Group yote nikipita watu wanalalamika Mwana kaitwa peke yake tu inaelekea๐๐๐๐
Yan siku ile ya test nlichukua namba kama za watu 50 randomly lakin kila ninae muuliza anasema bado majibu hayajatoka lakin chakushangaza nasikia oral imeshafanyika, sasa najiuliza ni watu gan walioitwa kufanya oral mbali na waliofanya written?Yaani katika wote walofanya ma Group yote nikipita watu wanalalamika Mwana kaitwa peke yake tu inaelekea[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
TPB mapicha picha boss kawaida yao hata ukipita Kwenda ORAL bado mapicha tu.Yan siku ile ya test nlichukua namba kama za watu 50 randomly lakin kila ninae muuliza anasema bado majibu hayajatoka lakin chakushangaza nasikia oral imeshafanyika, sasa najiuliza ni watu gan walioitwa kufanya oral mbali na waliofanya written?
Duuu...Yan siku ile ya test nlichukua namba kama za watu 50 randomly lakin kila ninae muuliza anasema bado majibu hayajatoka lakin chakushangaza nasikia oral imeshafanyika, sasa najiuliza ni watu gan walioitwa kufanya oral mbali na waliofanya written?
hizi taarifa umezipata wapi na je una uhakika na hio source ya taarifa? Zitakuwa romous tu hizoYan siku ile ya test nlichukua namba kama za watu 50 randomly lakin kila ninae muuliza anasema bado majibu hayajatoka lakin chakushangaza nasikia oral imeshafanyika, sasa najiuliza ni watu gan walioitwa kufanya oral mbali na waliofanya written?