ukipata kazi utajua kiwango cha mshahara Kijana acha kuwa na Libona utajiharibiaWakuu habarini.
Mwenye uelewa na hivi viwango vya mshahara ambavyo tpa wamevitoa kwenye hizi ajira anisadie plz.
Samahani mkuu , naomba kuuliza wewe ume appy hizi kazi kwa kada ipi ? nikisha fahamu hilo Kuna kitu utaweza kunisaidia Mimi na wengine wengiWakuu habarini.
Mwenye uelewa na hivi viwango vya mshahara ambavyo tpa wamevitoa kwenye hizi ajira anisadie plz.
Scanner operator 2Samahani mkuu , naomba kuuliza wewe ume appy hizi kazi kwa kada ipi ? nikisha fahamu hilo Kuna kitu utaweza kunisaidia Mimi na wengine wengi
Sawa mkuu , nilidhani labda utakuwa upende wa planning officerScanner operator 2
Ulikuwa na hoja gani?Sawa mkuu , nilidhani labda utakuwa upende wa planning officer
Kaka mambo vp, nicheckWakuu habarini.
Mwenye uelewa na hivi viwango vya mshahara ambavyo tpa wamevitoa kwenye hizi ajira anisadie plz.
Nitumie namba zako pm inaznguaKaka mambo vp, nicheck
Umeomba ipi. Mkuu?Wakuu habarini.
Mwenye uelewa na hivi viwango vya mshahara ambavyo tpa wamevitoa kwenye hizi ajira anisadie plz.
Wasaka ajira kama wewe tuHivi hapa humu wote hawana jibu au ndio makusudi tu?
Mkuu wewe leta hizo figure watu tujitathmini mapema unajua nini?Wasaka ajira kama wewe tu
We jiandae na saili
Ukipata itajulikana huko huko
Hapana mkuuMkuu wewe leta hizo figure watu tujitathmini mapema unajua nini?
Basi kaa hapo subiri wanaojua waje watoe maelezo na mimi nataka hio hio waiseme imekaajeHapana mkuu
Sifahamu
Na mm natamani kufahamu TPASS 4