TPA, TRA, WMA and the scapegoat, Tiper

Ujanja mwingine wa ORYX kama wawekezaji. (Na hili linaweza leta ugumu sana kwenye kuuvunja mkataba na wao) wame chukua eneo la nje ya Tiper, hati ikatoka kwa jina la Tiper kama mmiliki, lakini ORYX ndiye anaejenga Gas plant kubwa pale. Eneo lina ekari karibia 20. Hapa Serikali itapata faida finyuuuu (kwa kupata dividend ya kodi, wakati oryx wakiitumia kupiga biashara)
 
A bandit economy...

Tutajie majina ya hao wabunge wanaomiliki hayo makampuni kaka!
 
Bila kuweka sheria ya kuwanyonga hawa watu hata magufuli hataiweza hii vita! Nchi ngumu hii...
 
Ujanja mwingine wa ORYX kama wawekezaji. (Na hili linaweza leta ugumu sana kwenye kuuvunja mkataba na wao) wame chukua eneo la nje ya Tiper, hati ikatoka kwa jina la Tiper kama mmiliki, lakini ORYX ndiye anaejenga Gas plant kubwa pale. Eneo lina ekari karibia 20. Hapa Serikali itapata faida finyuuuu (kwa kupata dividend ya kodi, wakati oryx wakiitumia kupiga biashara)
duh! harii sana hii
 
Hongereni kwa taarifa na utafiti, kama ksmpuni ni yetu kwa nini wananchi wazalendo wanaondolewa sehemu nyeti na kuletwa wazungu na wahindi? Wanafiki ni watanzania sisi sisi, kujipendekeza kwa visenti vya kunywea pombe, Tiper yenye uwezo wa kuhifadhi lita 150 milioni sijui kama serkali yetu inanufaika, matengenezo ya kila mara ni mengi na yanatumia fedha kubwa, kupandisha gharama na kupunguza faida ya serkali.
 
Back
Top Bottom