TPA, TRA, WMA and the scapegoat, Tiper

Speaker

JF-Expert Member
Aug 12, 2010
6,324
2,238
View attachment 323367Uonevu lazima uishe. Watu wasiwe mbuzi wa kafara. Wezi wa mafuta wanajulikana. Waliozuia flow meters zisifanye kazi wanajulikana. Hakuna kitu kama "Tiper kujiungia bomba kwa ajili ya kuiba mafuta ".

Tiper haiagizi mafuta.

Ni kweli Oryx wanainyonya serikali kwenye uwekezaji wao Tiper. Sababu kubwa ni serikali kulala usingizi.


1455538765770.jpg

1455538754640.jpg

1455538780491.jpg
1455538792630.jpg
1455538805031.jpg
1455538817000.jpg
1455538862600.jpg

1455538844012.jpg
 
Shukrani mkuu, umeongezea nondo za kutosha. Unaonaje kama ungeomba hizi nondoz zikaunganishwe na ile thread iliyowekwa kwenye jukwaa la Great Thinkers?
 
Kila Raia ni Mlinzi wa Mali ya Umma, kama hao Orxy walikuwa wanaiibia serikali, kwa nn mabosi au hao wakurugenzi hawakutoa Taarifa serikalini mapema?
 
Mchoro walio utumia TPA kuwapa jamhuri wa publish ni ujanja tu wa kuficha mududu yao. Lakini njia ya muongo ni fupi sana. Kwenye mchoro hawakuonesha T-junction iliyopo ndani ya Tazama. Junction Ile ndio iliyotumika / inayo tumika kuiba mafuta kweli kweli. Haswa meli ikiwa ina discharge kwenda Tiper au kwenda kwenye omc za kurasini.
TPA hawajataka kuwasema waizi haswaaaa ni kina nani, badala yake aliye rushiwa lawama ni Tiper. Lake oil, MOIL (Mali ya mbunge ), world oil (walio kamatwa juzi juzi hapa wakikata seals kabisa lakini imefichwa kijanja), Hass ( Mali ya mbunge mwingine ), Kobil???

Zote hizi ndio wapigaji wakubwa sana.
 
Kwanini T-junction iliyopo Tazama. Ambayo na Mh MAJALIWA anaamini sanaaaaaaaaa ilijengwa?
T-junction ya Tiper ilikuwepo toka mwaka 2009. Hii wanayo iamini imejengwa 2014. Kwanini hizo kampuni nilizo zitaja hapo juu hazi kuunganisha kwenye Junction ya Tiper na badala yake wakajiwekea manifold yao? Kama Junction ya Tiper ni ya kuiba, kwanini walipo commission SPM waliitumia manifold ya wizi na mpokeaji wa kwanza akiwa Tiper?

Hivi sasa wanataka ku commission flow meter ya SPM, kwanini wanamuomba Tiper apokee maji kwenye line ya 18" toka SPM kwa kutumia manifold ya "wizi "?
 
Tatizo la viongozi wetu ni kuamini sana Habari na kuto zifanyia utafiti, maamuzi ya haraka ni mazuri sana. Tena tuna yahitaji. Tunatamani sana Oryx anyang'anywe shares zake, maana wameitapeli mno serikali kwa kusinzia kwake na wao wanaitumia kibiashara. Lakini si vyema kudharau vyanzo valid vya Habari.
 
Kwanini T-junction iliyopo Tazama. Ambayo na Mh MAJALIWA anaamini sanaaaaaaaaa ilijengwa?
T-junction ya Tiper ilikuwepo toka mwaka 2009. Hii wanayo iamini imejengwa 2014. Kwanini hizo kampuni nilizo zitaja hapo juu hazi kuunganisha kwenye Junction ya Tiper na badala yake wakajiwekea manifold yao? Kama Junction ya Tiper ni ya kuiba, kwanini walipo commission SPM waliitumia manifold ya wizi na mpokeaji wa kwanza akiwa Tiper?

Hivi sasa wanataka ku commission flow meter ya SPM, kwanini wanamuomba Tiper apokee maji kwenye line ya 18" toka SPM kwa kutumia manifold ya "wizi "?
shusha nondo mkuu, wengine tumetoka miaka mingi huko 'dsm' mamb yalipo..
 
Mamdenyi huo mchoro unaficha details nyingi sana. Aliyetoa mchoro huo ndiye Aliyetoa ruksa Tiper kuunganisha Junction hiyo. Na ni toka enzi za Tsunami iliyo haribu mabomba mengi bandarini. Tatizo yeye kapoteza reference zake. Wenzake wanazo.
 
Mwaga hadi maji ya kunawa......!! Uncle John nondo hizo
 
Kinachoitwa wizi wa ORYX Infact sio wizi. Ni ujanja tu wa ORYX kwenye mkataba wao.

Waliingia mkataba kwamba serikali ni 50% na Oryx ni 50% lakini oryx wanaendesha shughuli za kila siku za kampuni.

Ujanja wanao fanya oryx ni kutunza mafuta yao mengi Tiper na kwa storage fee ndogo kuliko kampuni nyingine yoyote (faida namba moja, hapa oryx ina nufaika, serikali imelala).

Faida nyingine ni Oryx ndio wateja namba moja wa MI losses za Tiper. MI loss ni kitu ambacho naweza kielezea hivi.
Unapeleka mafuta yako Tiper, tuseme lita 20,000 lakini mkataba kati yako na Tiper unasema mafuta sio mawe,yapo yatakayo potea kwa evaporation, yapo tayakayo potea kwa leakages etc. Hiyo ni 0.02 ya mafuta yako. So kwenye lita elf 20, kuna lita 400 hautapewa siku ukitaka mafuta yako. Sasa Piga hesabu ukileta milioni 2 kula lita elf40 hautapewa etc.

Baada ya muda Tiper inakua na accumulation ya mafuta ya namna hiyo. Inawezekana ikifika tani 1000 dizeli, 500 pms, 300 jet nk.

Hizi wao wanaziita MI loss (gains) ambazo mwingi wa siku zitauzwa na zita lipiwa kodi (ingawa mwanzoni walikua wanakwepa hadi masamaki alivo wakomalia).

Sasa oryx inafaidi kwenye uuzaji huu. Maana yanauzwa kwa bei ndogo na mnunuaji wa karibu na wa haraka ni Oryx. (hapa ndipo TPA walipo chukua Ile idea kwamba Tiper inaiba mafuta na kumuuzia oryx).

So kwenye Hilo la pili pia serikali kama 50% share holder hanufaiki, zaidi ata subiria DIVIDEND mwisho wa mwaka na hii inakua maybe 1billion na serikali ikipewa in CHEKELEA kweli kweli.

Kampuni inaweza tengeneza more than 20billion kwa mwaka, lakini matumizi ni ya kijinga na yasiyo ya kuipeleka mbele kampuni. Matumizi ni kuajiri wazungu kufanya kazi wanazo weza kufanya watanzania. Kwa mfano yupo anae simamia stocks, yeye analipwa dola 23,000 kwa mwezi. Pesa ambazo zinaweza kulipa wazawa zaidi ya 20 waliopo kwenye kitengo hicho hicho.

Haya tuliyasema toka zamani, atleast Muhongo alianza fuatilia kabla hajang'atuka.

Kuna watu humu ndani ni mashahidi wangu, nili wasimulia 2012 jinsi tunavoliwa watanzania na jitihada zote zinagonga mwamba.

Hawa wadosi wa ORYX sio watu wadogo, walikua wamekamata hadi ikulu.
 
Si ndio Majaliwa alisema kamwagiza mwanasheria Mkuu waangalie namna ya kufuta mkataba na Oryx ,unafikiria alikua hajui kinacho endelea kuna informations zingine zikiwa on public knowledge unaweza kuzimia
 
Kilichonishangaza ni U-turn aliyopiga bwana Mgawe kwenye hili swala la kuchepusha mafuta tofauti na msimamo wake wa awali. What happened? Je consultants walimdanganya? Je alishinikizwa kubadili msimamo toka mamlaka za juu? Je wafanyabiashara walishirikiana na wasafirishaji(meli) kumuhujumu? This is absurd
 
Mamdenyi huo mchoro unaficha details nyingi sana. Aliyetoa mchoro huo ndiye Aliyetoa ruksa Tiper kuunganisha Junction hiyo. Na ni toka enzi za Tsunami iliyo haribu mabomba mengi bandarini. Tatizo yeye kapoteza reference zake. Wenzake wanazo.
Hao wageni wengine kwao ni makanyaboya tu halafu wakija hapa wanalipwa dola 23,000 kwa mwezi! Kweli Tanzania inaliwa na wenye meno. Sasa mkuu hao wadosi walikuwa wameshikaje ikulu?
 
Hao wageni wengine kwao ni makanyaboya tu halafu wakija hapa wanalipwa dola 23,000 kwa mwezi! Kweli Tanzania inaliwa na wenye meno. Sasa mkuu hao wadosi walikuwa wameshikaje ikulu?

Sijaelewa. Lakini kila aliyekuwa akinyanyua mdomo tu alikua ananyamazishwa fasta sana.
Nakumbuka Simbachawene alivo ambiwa kuhusu huyu mtu wa ikulu (June 2015) alionesha kufahamu huyo mtu na akasema ni mtu mdogo sana. Saivi hiyo nguvu toka ikulu nadhani ime punguzwa. Ngoja tuone kama hisa zikirudi serikalini 100 % itakua ni ushindi sana.
 
Back
Top Bottom