Yericko Nyerere
JF-Expert Member
- Dec 22, 2010
- 16,987
- 20,270
Jamani aliye na matokeo ya mechi ya watani hao wajadi atujuze! Kumbuka kuna vijana wetu huko Samatta,Ochang!
Game ilichezwa wiki mbili zilizopita na walitoka drooMatokeo ya mazembe pls!
Yes El Toro,nilichanganya na game ya kwanza ukweli game ilihairishwaHii mechi kwa ninavyokumbuka iliahirishwa