toz mgambo

toz mgambo

TOTS SHALO

Senior Member
Joined
Sep 24, 2012
Posts
152
Reaction score
25
hapo zama nilikua naish kitaa kimoja chauswahili na nilikua bonge labishooh kwakuwabadili madem na pamba zangu zakuazma huku nikijifanya mie anderglaund wa hip hop madem walinipenda xana na kila mmoja akitamani ku det na mimi ijapo hawakujua nafanya kaz gan siku moja niko zangu job na mavaz yangu ya kaz nimemkamata machinga mmoja kariako wale wasichana wakitaa chahome wakaniona nakuanza kunifuata aise nilikimbia nakwenda kujificha kwenye maduka walinicheka xana toka siku hiyo kitaa naitwa toz mgambo.
 
Haahhhahhaha yaan watu wanapenda show of jamani s uishi maisha yako halisi tuu

Sent from my BlackBerry 9360 using JamiiForums
 
Itakucost ssa kwa kujifanya toz wakat sio aibu sana ishi kulingana na kipato chako

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom