habarini,
ninauza gari yangu aina ya toyota wish ikiwa na maelezo yafuatayo;
yom- 2003
car: Toyota wish
colour- black
cc: 1800
gear: Auto
fuel: Petrol
doors: 5
seats 7
registration tanzania: End of june 2013 (clk)
location: Dar es salaam- mbezi beach
gari ipo cutomized na mziki mkubwa (subwoofer, busta, twitter, crossover), taa za hid za fog kwenye bumper, rims original za gari, tv mbili mbele na nyuma zenye uwezo wa kupiga cd, usb, memory card, tv etc, car alarm, comprehensive insurance, haidaiwi road licence, body kits. Ninauza kwa sababu nimeagiza gari nyingine na hivyo sihitaji kuwa na magari mawili kwa sasa. Napatikana kwa watsapp pekee 0656-994450 na meseji za kawaida tu.
Bei ya gari ikiwa na vitu vyote hivyo nilivyotaja bila tamaa ni tsh 10,200,00/=. Picha zaidi za gari zimeambatanishwa kwa urahisi wa uangalizi wenu.
Shukrani na karibuni
View attachment 227547View attachment 227560View attachment 227559View attachment 227558View attachment 227557View attachment 227556View attachment 227555View attachment 227554View attachment 227553View attachment 227552View attachment 227551View attachment 227550View attachment 227549View attachment 227548View attachment 227561