Toyota vx v8

Hii ndio Tanzania zaidi ya uijuavyo,ni kwamba hilo goma ni famba na hasara kwa Taifa,marekani waliyarudisha Tanzania tunangoja nini basi na yako kama 12 hivi maana jana tu JK alikuwa analitumia moja hapa moshi, jiulize limetoka dar tupu kumfuata mkulu moshi, na hilo wese lililo kula si chini ya lita 500 toka dar to moshi bado kurudi. Wanasema ni bullet proof, kwani ukitaka kumtungua raisi unasubiri awe kwenye gari? Mbona yule muungwana wa mwanza alimkata mtama jukwaani? Sielewi kama ni kweli moshi hakuna gari ambalo rais anaweza kutumia wakati wa ziara yake, hii bado ni matumizi mabaya ya fedha za serikali. Tubadilike wajameni.
 
Hilo gari halifai tena kwa matumizi ya ikulu ngoja waziri mkulo akakope stanbic wanunue aina ingine kwa 500m!wakati mwananyamala hosp wazazi wanalala kitanda kimoja wanne!lukuvi anasema urbanisation ndio tatizo

Yaani Mnyalu Lukuvi ameni disappoint kabisa; sikumwelewa kabisa wakati dunia inalekea kwenye satelite citiess yeye anasema ni tatizo cjui alikuwa analenga tuurudie ujima yaaaaani hebu nisaidieni labda ni hili sembe nalojijazia hapa ndo linalewesha nisimwelewe!
 
Hii ndio Tanzania zaidi ya uijuavyo,ni kwamba hilo goma ni famba na hasara kwa Taifa,marekani waliyarudisha Tanzania tunangoja nini basi na yako kama 12 hivi maana jana tu JK alikuwa analitumia moja hapa moshi, jiulize limetoka dar tupu kumfuata mkulu moshi, na hilo wese lililo kula si chini ya lita 500 toka dar to moshi bado kurudi. Wanasema ni bullet proof, kwani ukitaka kumtungua raisi unasubiri awe kwenye gari? Mbona yule muungwana wa mwanza alimkata mtama jukwaani? Sielewi kama ni kweli moshi hakuna gari ambalo rais anaweza kutumia wakati wa ziara yake, hii bado ni matumizi mabaya ya fedha za serikali. Tubadilike wajameni.

ru sure??

Watuwekee kwenye mnada mi nitanunu tu hiyo mtakuta napaki Break Point k'nyama pale napunguza machungu.....!
 
Wazee wangu na vijana hawa jamaa mwaka huu tuwabane vilivyo naona hata njia hawaoni tena. Wanadanganya hata ukweli, hiyo siyo pancha kabsaaaaaaaaaaaaaaaa.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom