Toyota voxy for sale

khauka

Senior Member
Jan 26, 2011
100
4
Habari wana JF
Leo nimewaletea Toyota voxy. Year-2002, ni auto, inatumia petrol, mile age 80,000km, ina automatic engine startup(yani unaweza kuiwasha ukiwa hujapanda uko nje), ipo katika hali nzuri imeshafanyiwa registration zote inamwezi sasa tangu itoke bandarini. Bei 17milion, yeyote aliyekua interested karibu tufanye biashara. Tuwasiliane kwa no. 0715841348/0754841348
bado ipo sokoni Tuwasiliane.

IMG_2818.JPG IMG_2821.JPG IMG_2822.JPG IMG_2823.JPG Photo-0031_1.jpg Photo-0032_1.jpg
 

khauka

Senior Member
Jan 26, 2011
100
4
Nashukuru kwa ushirikiano wenu jamani, ila buizness is done nimeshauza gari tukutane tena nxt time.. asanteni
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Top Bottom